K kapu JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 218 Reaction score 44 Jun 24, 2013 #1 TCU wameanza kuonyesha eligibility kwa tulioomba vyuo kupitia cas,na wanatumia neno YES kwa eligible course na NO kwa not eligible hivyo ni mda muafaka kuangalia hilo suala.
TCU wameanza kuonyesha eligibility kwa tulioomba vyuo kupitia cas,na wanatumia neno YES kwa eligible course na NO kwa not eligible hivyo ni mda muafaka kuangalia hilo suala.
Wilson Gamba JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 808 Reaction score 878 Jun 24, 2013 #2 Asante,pia mnaweza kubadili ile kozo uliandikiwa neno'no'
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Jun 24, 2013 #3 Hawa jamaa tcu mbona bado hawaoneshi eligibility?alaf wanasema program nane mi mbona nimeona nafasi za machaguo zpo tano?msaada
Hawa jamaa tcu mbona bado hawaoneshi eligibility?alaf wanasema program nane mi mbona nimeona nafasi za machaguo zpo tano?msaada
K kapu JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 218 Reaction score 44 Jun 24, 2013 Thread starter #4 nadhani hiyo meseji kuhusu wanavosema program nane ni ya tangu mwaka jana maana walikua wanachagua course nane ila mwaka huu ni tano tu.
nadhani hiyo meseji kuhusu wanavosema program nane ni ya tangu mwaka jana maana walikua wanachagua course nane ila mwaka huu ni tano tu.
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Jun 24, 2013 #5 ok.mbna bado inaandika check in progres?
K kapu JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 218 Reaction score 44 Jun 24, 2013 Thread starter #6 umeshaclick hapo palipoandikwa "CLICK HERE"katika profile yako?