Mambo ya tcu kuhusu check in progress.

Mambo ya tcu kuhusu check in progress.

kapu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
218
Reaction score
44
TCU wameanza kuonyesha eligibility kwa tulioomba vyuo kupitia cas,na wanatumia neno YES kwa eligible course na NO kwa not eligible hivyo ni mda muafaka kuangalia hilo suala.
 
Hawa jamaa tcu mbona bado hawaoneshi eligibility?alaf wanasema program nane mi mbona nimeona nafasi za machaguo zpo tano?msaada
 
nadhani hiyo meseji kuhusu wanavosema program nane ni ya tangu mwaka jana maana walikua wanachagua course nane ila mwaka huu ni tano tu.
 
umeshaclick hapo palipoandikwa "CLICK HERE"katika profile yako?
 
Back
Top Bottom