Mambo ya tcu kuhusu check in progress.

Mambo ya tcu kuhusu check in progress.

kapu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
218
Reaction score
44
Kwa wale walioomba vyuo kupitia CAS tayari wameanza kuonesha eligible an not eligible katika course mlizoomba,fanya kuangalia profile zenu.
 
duh ila kwangu mie niliangalia juzi washaniwekea japo nne wameniandikia YES an moja wameniandikia NO.
 
Click hapo palipoandikwa CLICK HERE katika profile yako.
 
Back
Top Bottom