Mambo ya uchawi unavyofanyika katika viungo vya uzazi someni

Mambo ya uchawi unavyofanyika katika viungo vya uzazi someni

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
MAMBO YA UCHAWI UNAVYOFANYIKA KATIKA VIUNGO VYA UZAZI SOMENI

Kigagula.jpg



Tunapozungumzia uchawi hakuna shaka kuwa ni lugha inayoeleweka katika jamii yoyote.

Hivyo hili ni tatizo linalosababishwa na sayansi ya asili kwa baadhi ya watu


wachache. Sayansi hii hutumika zaidi kwa kutumia mchanganyiko wa miti

ya shamba. Mfano: Mwanamke anaweza kulogwa ili asizae kabisa au

akapata mimba na kutoka au akapata mimba na kukaa nayo kwa muda

mrefu sana halafu asizae. Vipimo vya hospitali huonyesha sawasawa ana

mimba lakini hakuna kuzaa. Hata kwa mwanaume pia anaweza kulogwa na

maumbile yake yakasinyaa yakawa hayana uwezo wa kushiriki tendo la

ndoa tena. Hata pia sayansi hii inaweza kutumiwa na baadhi ya watu ya

kumfanya mwanamme au mwanamke asioe au kuolewa.


Kwa upande wa mwanamke anaweza kuwa anaolewa na kuachwa au

kukosa huduma katika ndoa yake au katika mapenzi. Inawezekana pia akachumbiwa na asiolewe.

Inawezekana kabisa ndoa ya mwanamke ikawepo lakini kukawa hakuna kusikilizana, Amani inatoweka muda wote, vile vile hata kwa mwanamme hali kadhalika.

NINI HUSABABISHA MPAKA MTU MUME AU MTU MKE AKALOGWA?

Mara nyingi sana hali hii hutoka kutokana na wivu au chuki baina ya mtu na mtu au na watu. Chuki hii inayo tabaka nyingi:

Kwa upande wa mwanamke anaweza kuolewa na mwanaume ambaye alivunja ndoa yake ya awali.

Mwanamke anaweza kuolewa na mme mwenye mali nyingi wengine wakaona wivu na kwanini yeye?

Mwanamke anaweza kuolewa na mwanaume mwenye mahusiano na wanawake wengine. (wake wengi/mitara).

Mwanamke anaweza kuolewa na mme mwenye elimu kubwa au mwenye fani ya mvuto kwa UMMA kwa mfano mcheza mpira, mwanamuziki maarufu, biashara kubwa, cheo kikubwa serikalini, kwenye makampuni n.k.

Pia mwanaume anaweza kulogwa kwa sababu zifuatazo

Anaweza kuoa mwanamke aliyeachana na mwanaume mwingine.

Kama ikatokea anagombaniwa na wanawake wengi.

Kama ikatokea mwanaume anabadilisha sana wanawake na kutokuwa mwaminifu.

Kama ikatokea mwanaume anashiriki mapenzi na mwanamke aliyelogwa pia yeye atakuwa na tatizo hilohilo.

DALILI ZA MWANAMKE AU MWANAUME ALIYELOGWA:

Mwanamke

Kuota ndoto za kufanya mapenzi na wanaume asiyewajua nap engine anayewajua, mfano:

Anaweza kutoa ndoto anafanya mapenzi na baba yake wa kumzaa/mzazi.
Kuota kufanya mapenzi na kaka yake.

Anaweza kuota ndoto anafanya mapenzi na mwanaume jalalani au chooni.

Anaweza kuota ndoto anafanya mapenzi kwenye dimbwi la maji.

Anaweza kuota ameolewa na kufanya mapenzi na mwanaume mwenye kipato (Tajiri) lakini mwanaume huyo anakuwa anabadilika badilika mara binadamu mara nyingine nyoka.

Anaweza wakati mwingine kutaka kufanya mapenzi lakini akikosa

mwanaume hujichuwa mwenyewe na kumaliza haja yake.

Anaweza kuota ndoto amepewa pesa nyingi lakini cha ajabu akiomba pesa

kwa mume/ndugu au jamaa zake hawampi.

Wakati mwingine huota ananyonyesha mtoto kwenye chuchu zake wakati

mwingine huota amezaa mtoto lakini mtoto huyo hubadilika badilika mara nyoka, kuku au paka.

Mwanaume

Kutaka kufanya mapenzi na mwanamke lakini uume husinyaa mara

anapomkaribia au kumwingilia mwanamke.

Kutaka kufanya mapenzi au tendo la ndoa na mwanamke na mara mawazo

ya mapenzi huyeyuka na kichwa kujaa mawazo mengine nje ya mapenzi.


Ukiwa na Shida yoyote ile Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Hayo mandimu kwenye hiyo picha ni ya nin^? hebu tueleze kaz za hayo madude kama hutojali MziziMkavu. mshana jr leta nondo hapa
 
Last edited by a moderator:
Mambo haya huwa siri kubwa, wenyewe hula viapo vya kutokutoa siri zao! wanatunza siri kama usalama wa Taifa! sidhan kama watakuja hapa kutoa siri zao!
 
Mhh.., dunia ina mambo hii!
Hivi ni kulogwa..., au ndio katupiwa jini mahaba..?!
Kuna tofauti gani kato ya kulogwa ili usiolewe/kuoa na kutupiwa jini mahaba..?
 
Ukimtegemea yesu mwana pekee wa mungu kamwe hayo hayatakupata!mwamini yeye!
Hakuna mwema ila mungu pekee! Imeandikwa ombeni nanyi mtapewa,ukiomba ulinzi kwa mungu kupitia yesu kristo utapata hakika!
 
Mambo ya tigo rusha hayo hatar sana,kuna watu wana vibuyu hadi inasisimua,lakini piq niliwah kusikia wanawake huwawekea wanaume Limbwata kwa kuficha kipande cha nyama siku saba kwenye papuchi je ni kweli hili MziziMkavu?
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya tigo rusha hayo hatar sana,kuna watu wana vibuyu hadi inasisimua,lakini piq niliwah kusikia wanawake huwawekea wanaume Limbwata kwa kuficha kipande cha nyama siku saba kwenye papuchi je ni kweli hili MziziMkavu?
Sio kweli kuna njia zake wanazofanya kuweka kwenye hiyo Papuchi mpaka apewe utalaam na mganga wa kienyeji anaweka ni siku moja sio siku 7 kisha inachanganywa na dawa atakazopewa na Mganga ili aweze kukupikia na kukutilia ndani ya chakula ukila hiyo nyama umekwisha Kwa hilo Limbwata. Watu wa Miji ya pwani wanaujuwa huo uchawi.
 
Sio kweli kuna njia zake wanazofanya kuweka kwenye hiyo Papuchi mpaka apewe utalaam na mganga wa kienyeji anaweka ni siku moja sio siku 7 kisha inachanganywa na dawa atakazopewa na Mganga ili aweze kukupikia na kukutilia ndani ya chakula ukila hiyo nyama umekwisha Kwa hilo Limbwata. Watu wa Miji ya pwani wanaujuwa huo uchawi.

Same to warangi,ila wapo wanaotumia nazi "Mdondo" ni nazi iliyoanguka yenyewe bila kuanguliwa,hatar sana
 
Same to warangi,ila wapo wanaotumia nazi "Mdondo" ni nazi iliyoanguka yenyewe bila kuanguliwa,hatar sana

MADHARA YA UCHAWI WA TIWALA ( LIMBWATA )









UCHAWI WA TIWALA ( LIMBWATA )

Ni moja katika aina 410 za uchawi. Na uchawi huu upo aina 4. Leo tutaongelea aina ya 2.

LIMBWATA KWA MWANAMKE MADHARA YAKE

1) mwanamke atakuwa na maumivu makali katika kinena.

2) atakuwa akiumia sana akifanya
Mapenzi kitandani (Sex)

3) pia anaweza kuonekana kama ana uvimbe katika uzazi

4) maumivu yenye kufanana na chango.

5)kutokusikia lolote zaid ya alilo ambiwa na MUMEWE


LIMBWATA KWA MWANAUME MADHARA YAKE

1) atakuwa anaishiwa nguvu katika Mapenzi kitandani (Sex)

2) anakatikiwa nguvu mara kwa mara wakati wa Mapenzi kitandani (Sex)

3) kama ana wake wawili basi kwa mmoja anakuwa hawezi.

4) kuwa na nguvu wakati anajiandaa lakini akiwa mchezoni anatepeta



5) KUTOKUSKILIZA LOLOTE ANALO AMBIWA NA MTU HATA YASIYO MEMA AU YANAYO MLETEA MATESO ILA YEYE HUTII IKIWA TU LITATOKA KWA MKEWE


6) kuikumbatia familia ya mkewe na kusahau kuihudumia ndugu zake ikiwa pamoja na wazazi wake.

DAWA YA KUTIBU UCHAWI WA LIMBWATA TUWASILIANE KWA
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Haya ya kuota ndoto unafanya mapenzi na kukujta umetoa manii katika ndoto hiyo, siyo uchawi wala nini. Ni suala la kawaida na la kiasili (natural), Mwenyezi Mungu ametuumba hivyo, kuwa wakati ukifika kama manii yanatakiwa kutoka lakini huna mtu wa kufanya naye tendo la ndoa ili yatoke, basi utaota ndoto ili yatoke:

Waganga wengi huwadanganya watu eti ni jini mahaba - nonsense kabisa. Soma makala hii:
Wet Dreams
Wet dreams happen to most guys during the teen years. You wake up to find your bed sheets wet and sticky. Wet dreams, or nocturnal emissions, are a normal part of your development.
What are wet dreams?
Wet dreams occur when you ejaculate during your sleep. The medical term for a wet dream is "nocturnal emission." Most wet dreams are reported in teenage boys and young men, and sometimes they occur well into adulthood
What causes a wet dream?
A wet dream occurs when you have a sexually arousing dream during sleep, and your body releases semen through ejaculation. During the REM (rapid eye movement) phase of sleep, it's natural for guys to experience an erection. If you happen to have an arousing dream during this period of sleep, you will sometimes ejaculate.
You may have trouble remembering the dream or feel confused just after you have a wet dream. Some guys wake up because they feel like they are going to wet the bed. This is completely normal and nothing to be embarrassed about!
Can I prevent wet dreams from happening?
Although some people have ideas about how to prevent wet dreams from occurring, there is no proven strategy for this. While having to change your sheets or clean up afterward may be embarrassing or annoying, keep in mind that wet dreams are a normal part of development.
If you are feeling uncomfortable about having a wet dream, talk with an adult you trust – a parent, a school counselor, your health care provider. Talking about it is the best way to allow you to feel more comfortable about this natural part of your development.

chanzo: Wet Dreams
 
Back
Top Bottom