Mambo ya uchawi unavyofanyika katika viungo vya uzazi someni

Daaaaaa hapo kwenye swala la kijichua umenistua kidogo coz ndo kamchezo kangu kitambo sasa cjui nan kaniloga hapo jmn fafanua kidogo mkuu

see me soon ntakusaidia email:ndetichia@jamiiforums.com
 
MAMBO YA UCHAWI UNAVYOFANYIKA KATIKA VIUNGO VYA UZAZI SOMENI

attachment.php

Tunapozungumzia uchawi hakuna shaka kuwa ni lugha inayoeleweka katika jamii yoyote.

Hivyo hili ni tatizo linalosababishwa na sayansi ya asili kwa baadhi ya watu

wachache. Sayansi hii hutumika zaidi kwa kutumia mchanganyiko wa miti

ya shamba. Mfano: Mwanamke anaweza kulogwa ili asizae kabisa au

akapata mimba na kutoka au akapata mimba na kukaa nayo kwa muda

mrefu sana halafu asizae. Vipimo vya hospitali huonyesha sawasawa ana

mimba lakini hakuna kuzaa. Hata kwa mwanaume pia anaweza kulogwa na

maumbile yake yakasinyaa yakawa hayana uwezo wa kushiriki tendo la

ndoa tena. Hata pia sayansi hii inaweza kutumiwa na baadhi ya watu ya

kumfanya mwanamme au mwanamke asioe au kuolewa.

Kwa upande wa mwanamke anaweza kuwa anaolewa na kuachwa au

kukosa huduma katika ndoa yake au katika mapenzi. Inawezekana pia akachumbiwa na asiolewe.

Inawezekana kabisa ndoa ya mwanamke ikawepo lakini kukawa hakuna kusikilizana, Amani inatoweka muda wote, vile vile hata kwa mwanamme hali kadhalika.

NINI HUSABABISHA MPAKA MTU MUME AU MTU MKE AKALOGWA?

Mara nyingi sana hali hii hutoka kutokana na wivu au chuki baina ya mtu na mtu au na watu. Chuki hii inayo tabaka nyingi:

Kwa upande wa mwanamke anaweza kuolewa na mwanaume ambaye alivunja ndoa yake ya awali.

Mwanamke anaweza kuolewa na mme mwenye mali nyingi wengine wakaona wivu na kwanini yeye?

Mwanamke anaweza kuolewa na mwanaume mwenye mahusiano na wanawake wengine. (wake wengi/mitara).

Mwanamke anaweza kuolewa na mme mwenye elimu kubwa au mwenye fani ya mvuto kwa UMMA kwa mfano mcheza mpira, mwanamuziki maarufu, biashara kubwa, cheo kikubwa serikalini, kwenye makampuni n.k.

Pia mwanaume anaweza kulogwa kwa sababu zifuatazo

Anaweza kuoa mwanamke aliyeachana na mwanaume mwingine.

Kama ikatokea anagombaniwa na wanawake wengi.

Kama ikatokea mwanaume anabadilisha sana wanawake na kutokuwa mwaminifu.

Kama ikatokea mwanaume anashiriki mapenzi na mwanamke aliyelogwa pia yeye atakuwa na tatizo hilohilo.

DALILI ZA MWANAMKE AU MWANAUME ALIYELOGWA:

Mwanamke

Kuota ndoto za kufanya mapenzi na wanaume asiyewajua nap engine anayewajua, mfano:

Anaweza kutoa ndoto anafanya mapenzi na baba yake wa kumzaa/mzazi.
Kuota kufanya mapenzi na kaka yake.

Anaweza kuota ndoto anafanya mapenzi na mwanaume jalalani au chooni.

Anaweza kuota ndoto anafanya mapenzi kwenye dimbwi la maji.

Anaweza kuota ameolewa na kufanya mapenzi na mwanaume mwenye kipato (Tajiri) lakini mwanaume huyo anakuwa anabadilika badilika mara binadamu mara nyingine nyoka.

Anaweza wakati mwingine kutaka kufanya mapenzi lakini akikosa

mwanaume hujichuwa mwenyewe na kumaliza haja yake.

Anaweza kuota ndoto amepewa pesa nyingi lakini cha ajabu akiomba pesa

kwa mume/ndugu au jamaa zake hawampi.

Wakati mwingine huota ananyonyesha mtoto kwenye chuchu zake wakati

mwingine huota amezaa mtoto lakini mtoto huyo hubadilika badilika mara nyoka, kuku au paka.

Mwanaume

Kutaka kufanya mapenzi na mwanamke lakini uume husinyaa mara

anapomkaribia au kumwingilia mwanamke.

Kutaka kufanya mapenzi au tendo la ndoa na mwanamke na mara mawazo

ya mapenzi huyeyuka na kichwa kujaa mawazo mengine nje ya mapenzi.

issue za watu ni Wa mnarani Babeli
 
Ukimtegemea yesu mwana pekee wa mungu kamwe hayo hayatakupata!mwamini yeye!
Hakuna mwema ila mungu pekee! Imeandikwa ombeni nanyi mtapewa,ukiomba ulinzi kwa mungu kupitia yesu kristo utapata hakika!

Aminaaa
 
Haya ya kuota ndoto unafanya mapenzi na kukujta umetoa manii katika ndoto hiyo, siyo uchawi wala nini. Ni suala la kawaida na la kiasili (natural), Mwenyezi Mungu ametuumba hivyo, kuwa wakati ukifika kama manii yanatakiwa kutoka lakini huna mtu wa kufanya naye tendo la ndoa ili yatoke, basi utaota ndoto ili yatoke:

Waganga wengi huwadanganya watu eti ni jini mahaba - nonsense kabisa. Soma makala hii:
Wet Dreams
Wet dreams happen to most guys during the teen years. You wake up to find your bed sheets wet and sticky. Wet dreams, or nocturnal emissions, are a normal part of your development.
What are wet dreams?
Wet dreams occur when you ejaculate during your sleep. The medical term for a wet dream is “nocturnal emission.“ Most wet dreams are reported in teenage boys and young men, and sometimes they occur well into adulthood
What causes a wet dream?
A wet dream occurs when you have a sexually arousing dream during sleep, and your body releases semen through ejaculation. During the REM (rapid eye movement) phase of sleep, it’s natural for guys to experience an erection. If you happen to have an arousing dream during this period of sleep, you will sometimes ejaculate.
You may have trouble remembering the dream or feel confused just after you have a wet dream. Some guys wake up because they feel like they are going to wet the bed. This is completely normal and nothing to be embarrassed about!
Can I prevent wet dreams from happening?
Although some people have ideas about how to prevent wet dreams from occurring, there is no proven strategy for this. While having to change your sheets or clean up afterward may be embarrassing or annoying, keep in mind that wet dreams are a normal part of development.
If you are feeling uncomfortable about having a wet dream, talk with an adult you trust – a parent, a school counselor, your health care provider. Talking about it is the best way to allow you to feel more comfortable about this natural part of your development.

chanzo: Wet Dreams

Endelea kujidanganya na wet dreams
 
kutokufanya mapenzi muda mrefu ndo kunaleta wet dream hakuna jini mahaba hapo
 
MADHARA YA UCHAWI WA TIWALA ( LIMBWATA )

UCHAWI WA TIWALA ( LIMBWATA )

Ni moja katika aina 410 za uchawi. Na uchawi huu upo aina 4. Leo tutaongelea aina ya 2.

LIMBWATA KWA MWANAMKE MADHARA YAKE

1) mwanamke atakuwa na maumivu makali katika kinena.

2) atakuwa akiumia sana akifanya
Mapenzi kitandani (Sex)

3) pia anaweza kuonekana kama ana uvimbe katika uzazi

4) maumivu yenye kufanana na chango.

5)kutokusikia lolote zaid ya alilo ambiwa na MUMEWE

LIMBWATA KWA MWANAUME MADHARA YAKE

1) atakuwa anaishiwa nguvu katika Mapenzi kitandani (Sex)

2) anakatikiwa nguvu mara kwa mara wakati wa
Mapenzi kitandani (Sex)

3) kama ana wake wawili basi kwa mmoja anakuwa hawezi.

4) kuwa na nguvu wakati anajiandaa lakini akiwa mchezoni anatepeta

5) KUTOKUSKILIZA LOLOTE ANALO AMBIWA NA MTU HATA YASIYO MEMA AU YANAYO MLETEA MATESO ILA YEYE HUTII IKIWA TU LITATOKA KWA MKEWE

6) kuikumbatia familia ya mkewe na kusahau kuihudumia ndugu zake ikiwa pamoja na wazazi wake.

DAWA YA KUTIBU UCHAWI WA LIMBWATA BONYEZA HAPA.Mawasiliano

Kumbe ni Biashara, MziziMkavu endelea kupiga pesa mkuu, maana hawa binadamu hata uwaambie vipi hawataki kuukubali ukweli.

Mtu anashindwa kupambana na umaskini ulio halisi (real), wao wapo busy kuamini vitu vya kufikirika (uchawi)

Kama uchawi upo au ni dili, kwa nini usitumike kuifanya tanzania ya kwanza duniani kwa uchumi?

Au hata USA wanatumia uchawi kufanya scientific developments?
 
Last edited by a moderator:
MAMBO YA UCHAWI UNAVYOFANYIKA KATIKA VIUNGO VYA UZAZI SOMENI

attachment.php

Tunapozungumzia uchawi hakuna shaka kuwa ni lugha inayoeleweka katika jamii yoyote.

Hivyo hili ni tatizo linalosababishwa na sayansi ya asili kwa baadhi ya watu

wachache. Sayansi hii hutumika zaidi kwa kutumia mchanganyiko wa miti

ya shamba. Mfano: Mwanamke anaweza kulogwa ili asizae kabisa au

akapata mimba na kutoka au akapata mimba na kukaa nayo kwa muda

mrefu sana halafu asizae. Vipimo vya hospitali huonyesha sawasawa ana

mimba lakini hakuna kuzaa. Hata kwa mwanaume pia anaweza kulogwa na

maumbile yake yakasinyaa yakawa hayana uwezo wa kushiriki tendo la

ndoa tena. Hata pia sayansi hii inaweza kutumiwa na baadhi ya watu ya

kumfanya mwanamme au mwanamke asioe au kuolewa.

Kwa upande wa mwanamke anaweza kuwa anaolewa na kuachwa au

kukosa huduma katika ndoa yake au katika mapenzi. Inawezekana pia akachumbiwa na asiolewe.

Inawezekana kabisa ndoa ya mwanamke ikawepo lakini kukawa hakuna kusikilizana, Amani inatoweka muda wote, vile vile hata kwa mwanamme hali kadhalika.

NINI HUSABABISHA MPAKA MTU MUME AU MTU MKE AKALOGWA?

Mara nyingi sana hali hii hutoka kutokana na wivu au chuki baina ya mtu na mtu au na watu. Chuki hii inayo tabaka nyingi:

Kwa upande wa mwanamke anaweza kuolewa na mwanaume ambaye alivunja ndoa yake ya awali.

Mwanamke anaweza kuolewa na mme mwenye mali nyingi wengine wakaona wivu na kwanini yeye?

Mwanamke anaweza kuolewa na mwanaume mwenye mahusiano na wanawake wengine. (wake wengi/mitara).

Mwanamke anaweza kuolewa na mme mwenye elimu kubwa au mwenye fani ya mvuto kwa UMMA kwa mfano mcheza mpira, mwanamuziki maarufu, biashara kubwa, cheo kikubwa serikalini, kwenye makampuni n.k.

Pia mwanaume anaweza kulogwa kwa sababu zifuatazo

Anaweza kuoa mwanamke aliyeachana na mwanaume mwingine.

Kama ikatokea anagombaniwa na wanawake wengi.

Kama ikatokea mwanaume anabadilisha sana wanawake na kutokuwa mwaminifu.

Kama ikatokea mwanaume anashiriki mapenzi na mwanamke aliyelogwa pia yeye atakuwa na tatizo hilohilo.

DALILI ZA MWANAMKE AU MWANAUME ALIYELOGWA:

Mwanamke

Kuota ndoto za kufanya mapenzi na wanaume asiyewajua nap engine anayewajua, mfano:

Anaweza kutoa ndoto anafanya mapenzi na baba yake wa kumzaa/mzazi.
Kuota kufanya mapenzi na kaka yake.

Anaweza kuota ndoto anafanya mapenzi na mwanaume jalalani au chooni.

Anaweza kuota ndoto anafanya mapenzi kwenye dimbwi la maji.

Anaweza kuota ameolewa na kufanya mapenzi na mwanaume mwenye kipato (Tajiri) lakini mwanaume huyo anakuwa anabadilika badilika mara binadamu mara nyingine nyoka.

Anaweza wakati mwingine kutaka kufanya mapenzi lakini akikosa

mwanaume hujichuwa mwenyewe na kumaliza haja yake.

Anaweza kuota ndoto amepewa pesa nyingi lakini cha ajabu akiomba pesa

kwa mume/ndugu au jamaa zake hawampi.

Wakati mwingine huota ananyonyesha mtoto kwenye chuchu zake wakati

mwingine huota amezaa mtoto lakini mtoto huyo hubadilika badilika mara nyoka, kuku au paka.

Mwanaume

Kutaka kufanya mapenzi na mwanamke lakini uume husinyaa mara

anapomkaribia au kumwingilia mwanamke.

Kutaka kufanya mapenzi au tendo la ndoa na mwanamke na mara mawazo

ya mapenzi huyeyuka na kichwa kujaa mawazo mengine nje ya mapenzi.

ukweli mtupu
 
Sio kweli kuna njia zake wanazofanya kuweka kwenye hiyo Papuchi mpaka apewe utalaam na mganga wa kienyeji anaweka ni siku moja sio siku 7 kisha inachanganywa na dawa atakazopewa na Mganga ili aweze kukupikia na kukutilia ndani ya chakula ukila hiyo nyama umekwisha Kwa hilo Limbwata. Watu wa Miji ya pwani wanaujuwa huo uchawi.

Sasa ikiwa mwanaume hatumii nyama ataweka pilipili?
 
MziziMkavu kwa Yesu kila goti litapigwa. Uchawi wote unaisha kwa kuliitia jina LA Yesu. Amen
Mkuu Nazjaz Katika mambo ya uchawi hakuna cha Yesu wala mchungajihapo hujrogwa wewe utakapo rogwa ndipo utajuwa kuwa wachawi ni watu wa aiana gani? Na mimi sikuombeiupate kurogwa

lakini usijaribu tena tema mate chini sema mungu akulinde tu lakini uatakapo rogwa na kupatwa na amradhi ndipo utakapo juwa kuwa Wachawi ni watu wabaya hata umtaje Yesu Mara 1000 hawezi

kukusaidia huyo Yesu wako. Usione baadhiya wachungaji wanatumiajina la Yesu kuwatoa watu mapepo

kuna siri kubwa hapo inayofanyika ila wanaziba watu macho kwa klutumiajina la Yesu Mwenyewe

alisemakuwa Watakuja Manabiiwa uongo na watafany miujiza mingi na kunitaja mimi jina langu

musiwaamini.

Matayo 7:15-16

Manabii Wa Uongo

15 Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. 16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je, unaweza kuchuma zabibu kwenye miiba au tini kwenye michongoma?

Mathayo 24:4-5

4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.
5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.

Utabiri wa Yesu juu ya Manabii wa uongo na dalili za mwisho wa dunia.

Kitabu cha Mathayo 24:1-5 na Mathayo 24:24-28

1.Yesu akatoka hekaluni na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonyesha majengo ya hekalu.

2.Ndipo Yesu akawauliza, "Je, mnayaona haya yote? Amin, amin nawaambia, hakuna hata jiwe moja hapa litakalobaki juu ya jingine, kila moja litabomolewa."

3.Yesu alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamjia mahali pasipo na watu, wakamwuliza, "Tuambie, mambo haya yatatukia lini, nayo ni nini dalili za kuja kwako na za mwisho wa dunia?

4.
Yesu akawajibu, "Angalieni, mtu asiwadanganye.
5Kwa maana wengi watakuja kwa jina langu wakidai, ?Mimi ndiye Kristo, nao watawadanganya wengi.

24.Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo na kufanya ishara kubwa na miujiza mingi ili kuwapotosha, hata ikiwezekana wale wateule hasa. 25Angalieni, nimetangulia kuwaambia mapema.

26."Kwa hiyo mtu ye yote akiwaambia, Yule kule nyikani,? msiende huko. Au akisema, Yuko kwenye chumba,? msisadiki.

27Kwa maana kama vile umeme utokeavyo mashariki na kuonekana hata magharibi, ndivyo itakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. 28Kwa maana po pote ulipo mzoga, huko ndiko wakusanyikapo tai.

Hilo la kusema kwamba Yesu hawezi mbele ya nguvu ya wachawi inategemea imani yako tu. Uchawi upo ila mbele za Mungu si kitu kabisa.
 
Sii mbele ya Mungu, ni mbele yako endapo utaamini.
Wewe unayo mamlaka makubwa sana hata pasipo kumshirikisha sijui mungu au shetani.

Ninyi mwaitumia mamlaka yenu huku mkisema eti mmetumia mamlaka ya Mungu.
 
Hilo la kusema kwamba Yesu hawezi mbele ya nguvu ya wachawi inategemea imani yako tu. Uchawi upo ila mbele za Mungu si kitu kabisa.
Tofautisha kati ya Yesu na Mungu si kitu kimoja Yesu ni mwana Maria Bikira, na Mungu ni muumba wa huyo Yesu pamoja na mama yake. Bwana Yesu alikuwa ni binadamu hakuwa ni Mungu ushahidi Soma hapa.

Yesu inajulikana kwetu kama "Mwana wa Adamu" mara 88 katika Agano Jipya. Maana ya kwanza ya neno "Mwana wa Adamu" ni kumbukumbu ya unabii wa Danieli 7:13-14, "Nikaona katika njozi za usiku, na tazama mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye. Naye akapewa mamlaka, na utukufu, na ufalme, ili wa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote; wamtumikie mamlaka yake ni mamlaka ya milele, amboayo hayatapita kamwe, na ufalme wake ni ufalme usio weweza kuangamizwa." Elezo "Mwana wa Adamu " ilikuwa ni cheo cha Kimasihi. Yesu ndiye ambaye alipewa mamlaka, na utukufu na ufalme. Wakati Yesu alitumia maneno haya, alikuwa anamshirikisha Mwana wa Adamu kwa unabii kwake mwenyewe. Wayahudi wa zama kwamba ingekuwa kwa undani familiar na maneno na nani inajulikana. Yesu alikuwa akijitangaza yeye mwenyewe kama Masihi.
 
Back
Top Bottom