elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Wangekuwa wanawafirisi. Na wako wengi. Wanajifanya wawekezaji wa hiki kumbe wanaiba hiki. Na unakuta wanawahonga vijisent wabongo wanaendelea kuibaYule mama hata akitoka jela hela aliyochuma Tanzania atakula mpaka na vitukuu vyake.
SadWachina ni wangese sana...huwa wanawaita Waafrika kuwa ni 'little black devils'
Congo walimwambia Kabila I atamjengea barabara bure, kumbe lile eneo walijua lina madini. Waliketa ma digger yao na walitengeneza barabara. Madini waliyoyapata ni siri yao lakini yalizidi thamani ya barabara.Wangekuwa wanawafirisi. Na wako wengi. Wanajifanya wawekezaji wa hiki kumbe wanaiba hiki. Na unakuta wanawahonga vijisent wabongo wanaendelea kuiba
Nahisi hawa watu weupe uwa wanatuona sisi ni malofa wa kiwango cha nyani. Nahisi wanavyotupiga uwa wakikaa wanacheka kwa jinsi tulivyo mafaraCongo walimwambia Kabila I atamjengea barabara bure, kumbe lile eneo walijua lina madini. Waliketa ma digger yao na walitengeneza barabara. Madini waliyoyapata ni siri yao lakini yalizidi thamani ya barabara.
Kwanza wanashangaa kwanini sisi ni masikini wakati utajiri umetuzunguka.Nahisi hawa watu weupe uwa wanatuona sisi ni malofa wa kiwango cha nyani. Nahisi wanavyotupiga uwa wakikaa wanacheka kwa jinsi tulivyo mafara
Kweli uwa sometimes naona acha watuibie maana hata wakiyaacha hatujui tufanye nini. Tunachojua ni kukopa kwao tu. Kuna mahali tuna shida, mambo ya uchumi yametushinda. Just imagine S.A ilivyokuwa kiuchumi kabla ya kubadili regime. Sisemi naunga mkono regime ya makaburu ila S.A inashuka kiuchumi na ilipaswa kuwa mbali sana.Kwanza wanashangaa kwanini sisi ni masikini wakati utajiri umetuzunguka.
Tatizo lilianzia tulipoanza kuchukuliwa utumwani. Jamii zilisambaratika na tulipoteza viongozi, uwongozi, elimu na ujuzi.Kweli uwa sometimes naona acha watuibie maana hata wakiyaacha hatujui tufanye nini. Tunachojua ni kukopa kwao tu. Kuna mahali tuna shida, mambo ya uchumi yametushinda. Just imagine S.A ilivyokuwa kiuchumi kabla ya kubadili regime. Sisemi naunga mkono regime ya makaburu ila S.A inashuka kiuchumi na ilipaswa kuwa mbali sana.
Maajabu ya Botswana ya kiuchumi yameletwa na raisi ambaye ana chembe za weupe.
Sasa kwanini sisi pure africans tunashindwa kufanya mageuzi mpaka leo sielewi.
Nchi za afrika siasa zinafanana. Utakuta shughuli za kiserikali ila watu wanazungumzia chama tawala wamevaa mashati na makofia.
Hii nimeiona karibu nchi zote za afrika siyo tanzania, siyo zambia, siyo malawi wala uganda.
Sasa hii hali itaisha lini? Mbona nchi kama Singapore zimeweza japo nazo zilitawaliwa.Tatizo lilianzia tulipoanza kuchukuliwa utumwani. Jamii zilisambaratika na tulipoteza viongozi, uwongozi, elimu na ujuzi.
Wakolini walipokuja kututawala pia tuliishia kufanya kazi za kitumwa. Kazi za ujuzi walizofundishwa weusi ni uwalimu, uuguzi, upadre nk. Tulipopata Uhuru hatukuwa na uwezo wa kujitawala. Wakati wanatupa Uhuru walijua tu tutakwama.
Tungeweka malengo ya kuwajengea vijana kujifunza utawala wakati mkoloni anatawala, lakini hili mkoloni asingelikubali kwani angeshindwa kututawala kwa ukoloni mamboleo.
Walitumia akili, walipeleka vijana kusoma Ulaya na Marekani kwa agenda ya kujifunza uchumi, siasa, ufundi, diplomasia kilimo nk. Vijana wale waliandika reforms ambazo zimebadilisha uchumi wa nchi. Kinachohitajika katika kufanikisha hili ni uwongozi bora. Sasa serikali inayoiba kura kuingia madarakani usitegemee moyo wa kizalendo kwa vizazi vijavyo.Sasa hii hali itaisha lini? Mbona nchi kama Singapore zimeweza japo nazo zilitawaliwa.
Kuna nchi kama ethiopia haikutawaliwa lakini ina matatizo kama ya nchi nyingine tu za kiafrika
Sisi tunajali matumbo yetu.Walitumia akili, walipeleka vijana kusoma Ulaya na Marekani kwa agenda ya kujifunza uchumi, siasa, ufundi, diplomasia kilimo nk. Vijana wale waliandika reforms ambazo zimebadilisha uchumi wa nchi. Kinachohitajika katika kufanikisha hili ni uwongozi bora. Sasa serikali inayoiba kura kuingia madarakani usitegemee moyo wa kizalendo kwa vizazi vijavyo.
Kwann wachina wanashambuliwa sana kuliko european kwenye swala la unyonyaji. Na wakati wazungu wamewanyonya maish yenu yoteWachina Zambia ni kama wapo ndani jimbo lao
Wachina wanashambuliwa sana kuliko wazungu. Na wakati mchina hajawahi kukutawala, anachotaka yy ni fair business. Ila wangekua wazungu mgepiga kimyaWatakuwa wanatutukana kweli watu hawa wakikaa pekeyao na kijisemea kamsemo AFRICANS ARE REAL PRIMITIVE... LET'S RULE THEM..
Nisamehe mkuuWachina wanashambuliwa sana kuliko wazungu. Na wakati mchina hajawahi kukutawala, anachotaka yy ni fair business. Ila wangekua wazungu mgepiga kimya
Wazungu wakiwanyonya hamuongei, ila wachina wakifanya biashara na nyie, kelele nyingi, shtukeni, tokeni kwenye propaganda zinazoletwa na mzunguYes uwa wanalindwa na viongozi. Ila wachina pia ni wanyonyaji sana na hilo ndilo linanifanya niwe na mashaka na uwekezaji wao. Hata wafanyakazi mishahara ovyo, mazingira wanaharibu
Wote wanyonyaji ila unyonyaji wao unatofautiana. Ukitaka kujua hilo tazama wafanyakazi wanaofanya kwenye kampuni za wazungu na wale vibarua wa mchina? Hata uovu unazidiana viwango. Mchina ni mnyonyaji zaidi ya kupeWazungu wakiwanyonya hamuongei, ila wachina wakifanya biashara na nyie, kelele nyingi, shtukeni, tokeni kwenye propaganda zinazoletwa na mzungu
Hicho ndicho kinachotakiwa sisi ulimaji wetu tunaujua sisi, wenye uwezo wakipewa maeneo walime kelele, ohoo tunawaleta wakoloni!Ndiyo mkuu. Nilienda kijiji flani kinaitwa ubaruku mbeya, nilikuta wachina wana mashamba makubwa ya mpunga.
Ila mbona kwa wazungu sioni hii speed ya mashambulizi?Wote wanyonyaji ila unyonyaji wao unatofautiana. Ukitaka kujua hilo tazama wafanyakazi wanaofanya kwenye kampuni za wazungu na wale vibarua wa mchina? Hata uovu unazidiana viwango. Mchina ni mnyonyaji zaidi ya kupe
Tuheshimu wachina, wote tumepitia historia moja ya kutawaliwa, bila wao wazungu wangetutawala zaidi ya hapa. Bora wanawapunguza speed kidogoIla mbona kwa wazungu sioni hii speed ya mashambulizi?
Ni kama mwanamke anaebakwa, akisema mzungu anabaka kwa ustaarabu kuliko mchina, ila mzungu ndo uliekubaka kwa mda mrefu kuliko mchina[emoji23]
NOma Sana.
Hebu pata muda uone hawa wenzetu walivyoruhusu uwekezaji wa China kustawi huko Zambia
Kudhani utawala / kutawaliwa ni muhimu ndio mzizi wa fitina...Tatizo lilianzia tulipoanza kuchukuliwa utumwani. Jamii zilisambaratika na tulipoteza viongozi, uwongozi, elimu na ujuzi.
Wakolini walipokuja kututawala pia tuliishia kufanya kazi za kitumwa. Kazi za ujuzi walizofundishwa weusi ni uwalimu, uuguzi, upadre nk. Tulipopata Uhuru hatukuwa na uwezo wa kujitawala. Wakati wanatupa Uhuru walijua tu tutakwama.
Tungeweka malengo ya kuwajengea vijana kujifunza utawala wakati mkoloni anatawala, lakini hili mkoloni asingelikubali kwani angeshindwa kututawala kwa ukoloni mamboleo.