Mambo ya Wachina huko kwa wenzetu - Zambia

Mzungu anahakikisha hela anayokupa inatosha kula na kulala. Ndiyo maana wakati wa Ukoloni makuli bandarini waliweza kununua nyumba Magomeni, Mwananyamala hata Kariakoo. Wao walicheza upatu katika malipo yao I ya siku.
Bro hapa hatuongelei ni mkoloni gani mzuri, kila mkoloni ana nia mbaya kwako, na uziangalie kwa nn mzungu ana pretend kuishi na ww vizuri, ila angalia ni ndugu zako wangali wanateseka kutokana na ww kuuza roho yako. Bora hata mchina yupo real haigizi. Kuliko kuishi na mtu anaeigiza
 
Wewe naona umekosa hoja unaanza mashambulizi binafsi, au umeolewa na mchina?

Nimeongea observable facts hapa, kuwa wachina wana njaa kama wazungu walivyokuwa zamani, so sijasema mzungu hakufanya manyanyaso

Lakini kwa sasa hata kwa simple observation tu, hata ukisikis kwenye vyombo vya habari ni serikali na wananchi kuwa na mgogoro na wawekezaji wa kichina, husikii wazungu

Jadili facts acha mihemko yako kwa wachina

Au ni Udini unakusumbua eti mzungu mkristo namtetea? Hopeless kabisa
 
Ukitaka mali utaipata shambani- Julius Kambarage Nyerere

Waafrika tunawekeza nguvu nyingi katika kilimo kwa ajili ya chakula zaidi ya biashara......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…