wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
Bro hapa hatuongelei ni mkoloni gani mzuri, kila mkoloni ana nia mbaya kwako, na uziangalie kwa nn mzungu ana pretend kuishi na ww vizuri, ila angalia ni ndugu zako wangali wanateseka kutokana na ww kuuza roho yako. Bora hata mchina yupo real haigizi. Kuliko kuishi na mtu anaeigizaMzungu anahakikisha hela anayokupa inatosha kula na kulala. Ndiyo maana wakati wa Ukoloni makuli bandarini waliweza kununua nyumba Magomeni, Mwananyamala hata Kariakoo. Wao walicheza upatu katika malipo yao I ya siku.