Mambo ya Wachina huko kwa wenzetu - Zambia

Mambo ya Wachina huko kwa wenzetu - Zambia

Congo walimwambia Kabila I atamjengea barabara bure, kumbe lile eneo walijua lina madini. Waliketa ma digger yao na walitengeneza barabara. Madini waliyoyapata ni siri yao lakini yalizidi thamani ya barabara.
Napenda sana mbinu za wachina,ni ujinga kutegemea huruma ya washirika kibiashara wailinde biashara yako.
 
Na KItatokea tu subiri miaka mitano mbele.
Sasa hivi KULe Mafinga kila sehem wamejaa wao
Mkuu Mafinga waleta viwanda , na wamesaidia saana. Mafinga hawafanyi kazi zingine mbali na hivyo viwanda.
 
Hawa jamaa ni wonders sana. Wangelikuwa wazungu sidhani ka wangethubutu kupiga mikelele hapa
Sikweli. Kumbuka JPM alipokuwa anaponda na kuwaita Mabeberu, wananchi wenye uelewa walimpinga. Sababu bila wazungu mfano sekta ya Afya ingetushinda kabisa. Hebu jaribu kufikiri miaka tuliyotawaliwa na Mjerumani akaja kupokea Muingereza, je miaka yote hiyo tungekuwa chini ya Mchina Tanganyika ingekuwa kwenye hali gani?
 
Hawa jamaa ni wonders sana. Wangelikuwa wazungu sidhani ka wangethubutu kupiga mikelele hapa
I told you, kabla hata siku haijaisha pro european wamekuja kutetea wazungu[emoji23][emoji23][emoji23]. Told ya ma nigga
 
Sikweli. Kumbuka JPM alipokuwa anaponda na kuwaita Mabeberu, wananchi wenye uelewa walimpinga. Sababu bila wazungu mfano sekta ya Afya ingetushinda kabisa. Hebu jaribu kufikiri miaka tuliyotawaliwa na Mjerumani akaja kupokea Muingereza, je miaka yote hiyo tungekuwa chini ya Mchina Tanganyika ingekuwa kwenye hali gani?
akili mgando hizi WACHINA ndio rafiki zetu tusidanganyike kabisaaaaa

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
 
Bora Tena mchina yeye anachukuwa viramba mzungu Kam Ni eneo analitaka lzma achukuwe eneo kubwa mnoo masettler na kuwaacha wananchi hawana maeneo ya kulima .mfno zimbwabe na maeneo ya huku kwetu wazungu akitaka aridhi bas maelfu ya ekari. Atachukuwa Bora mchina kwa kuwa watu hawalalamiki kukosa maeneo ya kulima ..unaweza kuta eneo lote la mkoa wa rukwa Ni la mtu mmoja

Ingawa binafs siwapendi hao watu ila Bora kweny kilimo kuliko mzungub
 
Wachina wanashambuliwa sana kuliko wazungu. Na wakati mchina hajawahi kukutawala, anachotaka yy ni fair business. Ila wangekua wazungu mgepiga kimya

Mkuu, ni afadhali mara mia uwekezaji wa Kizungu kuliko Mchina

Wazungu wanaiba pakubwa ktk kucheza na ukwepaji kodi na ujanja mwngne lakini linapokuja swala la maslahi kwa wale wafanyakazi wake huwa wanawajali sana , wanalipa vizuri mishahara, huduma za bima ya Afya ni za kiwango kizuri, mazingira ya kufanyia kazi huwa ni bora sana, pía wanazingatia muda sahihi wa kuanza kazi na kumaliza kazi na mengneyo.

Kifupi Mzungu ana humanity ya hali ya juu

Ila wachina ni dhulumati wakubwa sana kuanzia ukwepaji kodi, kunyanyasa raia/wafanyakazi wao, maslahi kiduchu na kufanyishwa kazi masaa mengi zaidi bila kujali hata sheria za kazi.
Wachina hawafai hata kidogo hawa jamaa
 
Walitumia akili, walipeleka vijana kusoma Ulaya na Marekani kwa agenda ya kujifunza uchumi, siasa, ufundi, diplomasia kilimo nk. Vijana wale waliandika reforms ambazo zimebadilisha uchumi wa nchi. Kinachohitajika katika kufanikisha hili ni uwongozi bora. Sasa serikali inayoiba kura kuingia madarakani usitegemee moyo wa kizalendo kwa vizazi vijavyo.
Mbona Tanzania tulisomesha Vijana wengi tu Ulaya kipindi hicho, na ilikiwa enzi za chama kimoja
Tatizo ni akili
 
Tuheshimu wachina, wote tumepitia historia moja ya kutawaliwa, bila wao wazungu wangetutawala zaidi ya hapa. Bora wanawapunguza speed kidogo
Mzungu wa leo hii hana njaa kali na uroho kama wa mchina, kastaarabika
China ya sasa hivi ni kama Ulaya ya miaka ile ya 1700s, wasiojali utu bali wapo radhi kufanya chochote kwa ajili ya mali
 
Mkuu, ni afadhali mara mia uwekezaji wa Kizungu kuliko Mchina

Wazungu wanaiba pakubwa ktk kucheza na ukwepaji kodi na ujanja mwngne lakini linapokuja swala la maslahi kwa wale wafanyakazi wake huwa wanawajali sana , wanalipa vizuri mishahara, huduma za bima ya Afya ni za kiwango kizuri, mazingira ya kufanyia kazi huwa ni bora sana, pía wanazingatia muda sahihi wa kuanza kazi na kumaliza kazi na mengneyo.

Kifupi Mzungu ana humanity ya hali ya juu

Ila wachina ni dhulumati wakubwa sana kuanzia ukwepaji kodi, kunyanyasa raia/wafanyakazi wao, maslahi kiduchu na kufanyishwa kazi masaa mengi zaidi bila kujali hata sheria za kazi.
Wachina hawafai hata kidogo hawa jamaa
Mzungu anahakikisha hela anayokupa inatosha kula na kulala. Ndiyo maana wakati wa Ukoloni makuli bandarini waliweza kununua nyumba Magomeni, Mwananyamala hata Kariakoo. Wao walicheza upatu katika malipo yao I ya siku.
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Mzungu wa leo hii hana njaa kali na uroho kama wa mchina, kastaarabika
China ya sasa hivi ni kama Ulaya ya miaka ile ya 1700s, wasiojali utu bali wapo radhi kufanya chochote kwa ajili ya mali
Unamchukia mchina kwa sababu hana historia ya kukunyanyasa, effect ya mzungu kukuchapa viboko na kukulimisha miaka 400 bado inakuandama, unamuona mzungu kama mungu wako, hata kwenye vitabu vya wakristu yesu wangemchora kwa picha ya mchina ungekua unamuheshimu mchina, il kwa sababu yesu na malaika wamewachora kwa picha ya mzungu ndo maana unawalamba miguu wazungu.
 
Back
Top Bottom