mie napokea tu, namshukuru na kukiwa na umuhimu wa kumuambia wife kuwa ex wake ametoa mchango huo haina shida namuambia...... issue ni TRUST between you two
Kweli kabisa King, bora huyo aliyejitokeza na mchango wake, tena usikute wakati upo kwenye kikao unaumiza kichwa mchumba nae anaserebuka na lijamaa lingine na halitakaa likupe mchango wake!Swala ni kuchangia mkuu,kuna wengine hawachangii hata sumni na wanamla huyu mchumba wako mtarajiwa!
Ndani ya ndoa kuna siri nzito sana usione unapata wafadhili ukanenua meno ukaona umepata watu wema ukiona kilicho nyuma ya pazia unaweza usifunge hiyo ndoa unakuta mbaba anajitoa kweli kweli kumbe anapumzika kwa b harusi mtarajiwa na kwa kina mama hivyo hivyo anagaramia kila kitu kumbe kijana anamtafuna mama huu ufisadi cjui utaisha lini.
Kumnunulia suti hapana, kutupeleka honey moon pia hapana, atoe mchango huko kwenye kamati inatosha!sweetlady?umeolewa?jibu swali la nyongeza nililouliza!au niliweke kwa upande wako ili upate hisia zake!x wa mmeo mtarajiwa kajitolea kumnunulia suti ya harusi mmeo mtarajiwa na honeymoney atawapeleka kwa gharama zake!UTAKUBALI UACHIWE KUMBUKUMBU YA AINA HIYO FOR THE REST OF YOUR LIFE?fikiri kabla ya kujibu
kabla sijawa member hapa nilikuwa naona watu wanalalamika kakidude ka like kamepotea!kumbe kweli nakatafuta sikaoni!
Dharau kukupa mchango??? Kama ni hivyo usipokee michango yote ufanikishe harusi peke ako....
BK ! Stand for
Bukoba ?
Bakari ?
Baka - Barcelona ?
Bangkook ?
sweetlady?umeolewa?jibu swali la nyongeza nililouliza!au niliweke kwa upande wako ili upate hisia zake!x wa mmeo mtarajiwa kajitolea kumnunulia suti ya harusi mmeo mtarajiwa na honeymoney atawapeleka kwa gharama zake!UTAKUBALI UACHIWE KUMBUKUMBU YA AINA HIYO FOR THE REST OF YOUR LIFE?fikiri kabla ya kujibu
Mie alinipa mchango ila niliutumia kwa mambo yangu mengine, sikumwambia husb manake haimuhusu kwanza hawakuwahi kufahamiana! Yeye pia alipooa nilimpa mchango wangu na aliupokea!
Kama wameachana kikweli kweli wewe una wasi wasi gani? Pokea, kamwambie na mchumba mtarajiwa kuwa jamaa katoa mchango kiasi fulani, je ukiacha kupokea unajuaje hatamtafuta huyo X wake afu ampe kama zawadi ya harusi! Humwamini huyo mchumba au? Labda hana nia mbaya je?.sweetlady!cant you see?hapo kakuchangia au "kakuolea"?
mkuu King Kong!utamwambia mtarajiwa wako kwamba jamaa katoa hiyo kiasi?mara 2 yako?nani kaoa sasa wewe au jamaa?
1. naomba nikuhakikishie kuwa umechanganya madesa MIMI SIO SIwatu sikuhizi wanajizatiti na ban!!! haya bwana SI.
Kumnunulia suti hapana, kutupeleka honey moon pia hapana, atoe mchango huko kwenye kamati inatosha!
Wifi angalia usije ukasutwa manake hapa namzungumzia klorokwini ndie alienipa mchango wakati naolewa na kakako, na kakako nilishamsimulia kitambo hivyo umechelewa sana, hivi unataka kunivunjia ndoa au?..ook ngoja nifikishe taarifa kwa brada nafikiri hajapita hapa
Well sio shabiki sana wa hizi sherehe..............lakini ndoa sio sherehe ya harusi? Yeye kufinance sherehe yako iwe kwa kujionyesha ama kwa nia njema haimaanishai yeye ndio muoaji............kuanza kuogopa ama kumwogopan kumjali ndio kushindwa kwako!
Hebu tulia na ule zako zabibu bana!
Hahaha! Wewe bana, kama vipi chukua hizo hela uje unipe mimi lol (joke)kwanini hapana?onyesha kwamba unajiamini bana!ok well,nadhani umeona hapa kuonyesha unajiamini its not an issue!shida ni kumbukumbu mbaya utakayoachiwa once you accept!na kwa jinsi gani unaweza kumpa nafasi ya kuongea huko mbeleni huyo x!am glad now you feel it baada ya kukupa huo mfano!