Mambo ya X

Mambo ya X

nitakubali ila baada ya hapo ni abiria chunga mzigo wako.

husninyo!hivi wewe maisha unayachukulia simple hapa ktk keyboard au hadi ktk real life?yani kila ukicheki album unaona suti ya "mke mwenza"!watu wakisifia suti ya mmeo utajisikiaje hapo?na huko ktk honeymoon huyo x akichukua chumba cha pili jirani kwa kisingizio anakuwa around ili alipe bili on time utalia na nani?
 
Afu wewe unajua mie bado nazisubiri hizo mil7, au umegoma kuzichukua?..
 
husninyo!hivi wewe maisha unayachukulia simple hapa ktk keyboard au hadi ktk real life?yani kila ukicheki album unaona suti ya "mke mwenza"!watu wakisifia suti ya mmeo utajisikiaje hapo?na huko ktk honeymoon huyo x akichukua chumba cha pili jirani kwa kisingizio anakuwa around ili alipe bili on time utalia na nani?

life is simple bwana ila binadamu tunayacomplicate. Kuna mambo mengine hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi nayo. Atalipa chumba cha honeymoon ila nitakuwa na mume wangu, wasiwasi wa nini hapo?
 
Hehehe!.. Mwambie bana manake amegoma kuchukua mil 7 hivi, hivi!
 
Jaman hizo ni imani,kwangu mm nisingejisikia vzr sababu tu kaja kikaoni,kama ni swala la mchango mbona fresh tu tunachangiana,mm x wangu aliwahi kuoa,alioa mwaka 2003 na nnakumbuka aliniletea kadi ya mchango ofisini,na alikuwa anafatilia na simu ananipigia,mm nimeolewa mwk 2008 na wala sikusumbuana nae kuhusu kadi, so sioni ubaya kuchangiana labda kwenu nyny wanaume
 
Back
Top Bottom