Mambo ya X

Mi naomba hiyo iwe imetokea TARIME uone huyo jamaa watakavyo mgecha!

sio lazima tarime mkuu,...kila mtu anapenda kuheshimiwa na kudhaminiwa,....anyway hii ni story in its making.
 
ujinga mno kutafuta sifa na harusi za watu
yaani huyo x ni mjinga still......
so una pesa tele but still mdada kaenda kwa jamaa lofa....

pesa sio kila kitu..

wapo watu wako 'blessed'....
hata ukitumia pesa kujipandisha utazidi kujiumiza tu....
 
Huyo kaka atakuwa amechaga kwa masifa kwa kweli na wala si hiari na ukiangalia haraka haraka ni kama alitaka kumfanya huyo bw harusi ajisikie vibaya, haipendezi tena mbele ya umati wa watu wanaoelewa issue nzima.
Very true.... It means the guy is still longing and he tries to compensate with money. I will take the money, make him 7m less in pocket but won't use it for wedding, will give to poor people, orphans or church
 

Nimeipenda hii
 
nitapokea ila kwa shingo upande aisee... dah!! na mchumba wangu hatastahili fahamu hili.
 
usikute katoa hicho kiasi ili aendelee kula mzigo kijanja
 
Huyo X wa mchumba wako anafuata nini kwenye kikao hicho, au bado mahusiano yapo? Kukuandikia cheki ya balance ya bajet kwa sisi wanaume ni MATUSI ya nguoni, kama ni mimi nitaichukua na kuichanachana na kumtupia hivyo vipande. Anatafuta loop hole ya kuwa na mawasiliano na mchumba hata atakokuwa mkeo. Atakuwa anampigia simu bila wasiwasi ukihoji atakwambia nilikuwa natoa shukrani za mchango!
Ogopa type za watu wa aina hiyo, kukuchangia zaidi ya nusu ya bajeti - HAPANA.
 
Hii inawahusu wanaoowa kwa michango, ukikubali kuoa kwa mchango, ukubali kuchangia na mkeo.

Mimi sikubaliani na michango ya harusi wala mazishi, sijawahi kutoa, sitotoa, na sitochangisha. Iwe ya harusi au ya maziko. Ni upunguani tu.
 
Usifanye mchezo na ugonjwa wa moyo,Kumjua tu jamaa aliyekuwa anagonga hiyo kitu before ni noma.Kila ukikutana naye pressure inapanda.HAKIYA NANI MOTO UNGEWAKA NA KIKAO KINGEVUNJIKA!!!!!
 

duh!hii ngumu kumeza
 
...Bora kuwa maskini jeuri!!! Mie hata kwenye kikao asingekuwepo ningemtafadhalisha tu aondoke kabla kikao cha harusi hakijaanza. Kikao cha harusi ni changu mimi na mimi na yeye hatuna uhusiano wowote zaidi ya kuwa mmoja wa marafiki zake pia ni rafiki yangu. Hivyo hastahili kuwepo kwenye kikao.
 
 
Last edited by a moderator:
Hivi ukikataa wanakamati unawapa sababu gani ya kukataa
 

haya wenye kujifunza na wajifunze,x kwenye kikao chako kama unamjua timua mbio!
 
Then utakua umefeli mtihani wake, lengo lake ni kukuona wewe kumwezi, but you have the bigger asset... LOVE of her X

dont fall into traps, chukua pesa tumia utakavyo but not for the wedding ceremony
 
Hivi ukikataa wanakamati unawapa sababu gani ya kukataa

wanakamati wanaume wanaosimamia ktk uanaume ukiwaambia hiyo habari ukifanya mchezo watampiga hata na chupa!hiyo kitu inauma wewe!usiombe ikutokee!
 
That's disrespectful!

And if your wife to be doesn't see anything wrong with it, then something is wrong with her too.
 
Usifanye mchezo na ugonjwa wa moyo,Kumjua tu jamaa aliyekuwa anagonga hiyo kitu before ni noma.Kila ukikutana naye pressure inapanda.HAKIYA NANI MOTO UNGEWAKA NA KIKAO KINGEVUNJIKA!!!!!

mkuu umenifurahisha sana!hakika huo ndio uanamme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…