Mambo ya X

That's disrespectful!

And if your wife to be doesn't see anything wrong with it, then something is wrong with her too.

jini mwenyewe amekiri kuwa hilo jambo sio jema nashangaa watu wa kawaida wanashindwa vipi kuona ubaya wa hili jambo!
 
nabeba mzigo nasokeza siku maana hata wakati nakutana nae alikuwa tayari ashaondolewa bikra so am aware kwamba kulikuwa na njemba alikuwa anapata mzigo...
 
nabeba mzigo nasokeza siku maana hata wakati nakutana nae alikuwa tayari ashaondolewa bikra so am aware kwamba kulikuwa na njemba alikuwa anapata mzigo...

kaka unalea busha hapo!litakuumbua mbeleni!siku ktk ndoa mnatafuta kodi ya nyumba au ada ya mtoto mkeo ktk hangaika zake analeta anakuambia yule x amempa utamlaumu nani?
 
Niliposoma tittle 'MAMBO YA X' nikajua unazungumzia 'PILAU'. Duh, kumbe tofauti.

the title was designed kwa ajili ya watu kama nyinyi!teh!teh!teh!haya sasa sio pilau ni wali mweupe kula basi,i mean changia hoja mkuu!utapokea kitita?
 
Swala zima la KUCHANGIWA PESA ili kuoa au kuolewa linanyongonyesha muoaji na muolewaji...!

Kama umekubali kufanya vikao vya KUOMBA michango ya kuoa, basi jiandae kuchangiwa na waliomtoa bikira mchumba wako...!
 
Na hapo ndipo ugonvi kama si mauaji(ya kutisha)yanapoanzia_na hasa kwa watu kama sisi tusiopenda madharau(embarassment)ya kijinga.

pamoja mkuu!mwanaume huwezi ruhusu ujinga kama huo!yaani hii iko very close to murder case!dk 2 tu unatoa mtu roho!
 
Swala zima la KUCHANGIWA PESA ili kuoa au kuolewa linanyongonyesha muoaji na muolewaji...!

Kama umekubali kufanya vikao vya KUOMBA michango ya kuoa, basi jiandae kuchangiwa na waliomtoa bikira mchumba wako...!

tatizo sio kuchanga kwake mkuu!tatizo ni kutaka kwake kuchukua "hisa" nyingi utafikiri ye ndio anaoa!tena ye ni x!
 
yaani cheki imeandikwa kabisa "pay Babu Asprin,seven million pesa za madafu"!khaaa!babu upo wapi?enzi zako ingekutokea hii ungemfanyaje huyo jamaa?
 
Usifanye mchezo na ugonjwa wa moyo,Kumjua tu jamaa aliyekuwa anagonga hiyo kitu before ni noma.Kila ukikutana naye pressure inapanda.HAKIYA NANI MOTO UNGEWAKA NA KIKAO KINGEVUNJIKA!!!!!

Tuko pamoja mkuu,..kweli nimeamini duniani wawili wawili_yaani mimi sipendi hata kumjua huyo x wa mpenzi wangu,...licha ya mke ntakayeoa,...yaani kumjua x wake ni kigezo tosha cha kutomuoa,....ndio mwisho wa mkataba wa mapenzi.
 
Mlaji ni mla leo mla jana kala ni au siyo jamani?

aaaaaa!simba mkali vipi tena unaniangusha!nilipoona umeingia nikajua umekuja kurarua mtu kucheki comment yako utafikiri simba wa zanzibar wale wanaonyweshwa chai bana!
 
Bora upokee tu yaishe. Maana hata ukikataa haitabadilisha chochote. Bado jamaa atendelea kuitwa ex-boyfriend na mara moja moja pengine huwa anagonga mzigo. Waswahili wanasema mtalaka hatongozwi...

Kuna stori moja niliwahi kuisikia hapa mjini...Kuna jamaa mmoja alikuwa maarufu sana hapa Dar. Ameshafariki. Alikuw anaitwa Abdul Msomali.Yeye alimkuta jamaa amekaa na demu wake, akamwambia kwamba huyo demu yeye huwa anamzimia siku nyingi sana na anaomba ampe yule jamaa shs. 3,000,000 ili amwachie demu. Jamaa akakataa. Abdul akamwambia kwamba, ni bora upokeee tu hii pesa kwa kuwa hata kama ukikataa huyu manamke kashaona pesa nitampata tu kwa wakati wangu. Tehtheheheheheh jeuri ya pesa achana nayo kabisa!
 
Bora upokee tu yaishe. Maana hata ukikataa haitabadilisha chochote. Bado jamaa atendelea kuitwa ex-boyfriend na mara moja moja pengine huwa anagonga mzigo. Waswahili wanasema mtalaka hatongozwi...

Say whaat?

That from time to time he fcuks her? If so, then what is the point of him exchanging nuptial vows with her knowing full well that she'll be letting her ex smash her?

He might as well just stay single.

But also, I thought saying 'no' is/was a matter of principle....
 
Kuna stori moja niliwahi kuisikia hapa mjini...Kuna jamaa mmoja alikuwa maarufu sana hapa Dar. Ameshafariki. Alikuw anaitwa Abdul Msomali.

mkuu,story kama hiyo tafuta movie inaitwa INDECENT PROPOSAL ya demi moore!sasa Masaki,huoni unalea ugonjwa hapo!siku mkeo kapata nafasi ya kusoma masters ada imegoma akienda kwa jamaa akampa akaja kukuambia utamlaumu mkeo?wakati we ulikubali "akuolee" ktk harusi yako?
 

Sijui hapo tatizo liko wapi zaidi ya :-
1. Huyo X kujikweza,na kutafuta umaarufu usio wa lazima..

2. Wivu wa bwana harusi mtarajiwa,ambao kimsingi hapaswi kuwa nao.. Sababu kamati ndiyo inayoendesha vikao vya maandalizi ya shughuli ya harusi yako,sasa utajitutumua vipi na kukataa cheki ya kukamilisha bajeti kamati iliyojiwekea?

3. Sema kama atakuwa na lake moyoni zaidi ya mchango,litajulikana baadaye ambapo ataona mtihani wake wa kutumia fedha,haujahatarisha msimamo wako wa kuendelea na maandalizi ya harusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…