Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
- Thread starter
-
- #141
nitakubali ila baada ya hapo ni abiria chunga mzigo wako.
Afu wewe unajua mie bado nazisubiri hizo mil7, au umegoma kuzichukua?..husninyo!hivi wewe maisha unayachukulia simple hapa ktk keyboard au hadi ktk real life?yani kila ukicheki album unaona suti ya "mke mwenza"!watu wakisifia suti ya mmeo utajisikiaje hapo?na huko ktk honeymoon huyo x akichukua chumba cha pili jirani kwa kisingizio anakuwa around ili alipe bili on time utalia na nani?
husninyo!hivi wewe maisha unayachukulia simple hapa ktk keyboard au hadi ktk real life?yani kila ukicheki album unaona suti ya "mke mwenza"!watu wakisifia suti ya mmeo utajisikiaje hapo?na huko ktk honeymoon huyo x akichukua chumba cha pili jirani kwa kisingizio anakuwa around ili alipe bili on time utalia na nani?
Hehehe!.. Mwambie bana manake amegoma kuchukua mil 7 hivi, hivi!life is simple bwana ila binadamu tunayacomplicate. Kuna mambo mengine hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi nayo. Atalipa chumba cha honeymoon ila nitakuwa na mume wangu, wasiwasi wa nini hapo?