Roho mbaya tuMiaka 4 yote hukutupa mashavu ndugu zako wa JF kwa nini!!
Ukweli gani unaofafanua..kwamba forex ni betting au forex sio biashara rahis kama watu wanavodhan?ingia YouTube ,andika dar forex mkt, utapata watu wanazungumza nakukuelekeza hii kitu, kwa kiswahili, kisha Fanya maamuzi. samahanii timu.............. mi sio kama naipinga, ila tunafafanua ukwelii
Sometimes we need to be fair sio tu kulaumu bila sababu!target kubwa ya walimu wa forex wengi ni hela za mafunzo.. na wanajipachika ubroker au wanamdalalia broker atakaewapa commission ili wapige hela za watu wanaojiunga forex..
ukiona mwalimu anakulazimisha awe broker wako au akuchagulie broker ujue anakupiga
Naona unapiga promo...ingia YouTube ,andika dar forex mkt, utapata watu wanazungumza nakukuelekeza hii kitu, kwa kiswahili, kisha Fanya maamuzi. samahanii timu.............. mi sio kama naipinga, ila tunafafanua ukwelii
Wote naona mnapiga promo hawa watu wenu hii thread inajitosheleza kwa mtaka huda hii kufanya maamuzi binafsi.Ndio maana nasema ontario amekomboa wengi!!
huo ndio ukweli japo SIO Dhambi bado kwa ulimwengu huu ni biashara.target kubwa ya walimu wa forex wengi ni hela za mafunzo.. na wanajipachika ubroker au wanamdalalia broker atakaewapa commission ili wapige hela za watu wanaojiunga forex..
ukiona mwalimu anakulazimisha awe broker wako au akuchagulie broker ujue anakupiga
Sometimes we need to be fair sio tu kulaumu bila sababu!
Ivi unaponunua simu ya promotion ya samsung pale voda na ukaambiwa ni lazima utumie line voda kuna ubaya gan?? Kwan ukiwa na line ya voda hupati mawasiliano??
Kwanza ulitakiwa umpongeze maana hata kama anapata commission ni dalili kwamba kijana anajituma!! Na wewe komaa upate commission mkuu sio unaleta wivu wa kike...
Mbona unaruka ruka mkuu... Kwan nani kataja jina la mtu?kuna mtu ametajwa jina.. wajinga ndio waliwao