Mambo yakuzingatia unapotafuta forex mentor (mwalimu wa forex)

forex kunamchezo unachezeka Michezo feki, kuna mda mwingine wanapandisha grafu ya dolla, watu wanatrade, kisha wanashusha muda huo huo. someni vizuri na hasa soma dar forex MKT, waakupa ukweli mtupu.jinsi mchezo huu ulivyo upo kama betting. au forex=betting
Mkuu naomba kuuliza ni akina nani hao wanaoamua samani ya fedha hii ipande na hii ishuke?? Je hii biashara unaweza vipi kuicontrol?
 
Kiswahili lugha yetu lakini muda mwingine kinakuwa kigumu kuelewa...mtoa mada hapa kaelezea kile anchojua kuhusu kutafuta mentor wa forex sijui inakuwaje wengine wanaanza kumuingiza Ontario katika uzi huu??
By the way forex iwe trade ama betting ni wewe na uelewa wako na jinsi unavyoweza kuichukulia...kama mimi ninafanya sana tu Sports Betting na kwa jinsi nilivyoielewa Forex ni Advanced Betting.

Ukiqoute hii comment usiniletee hoja za kutaka nikubali Forex ni trade.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wabongo bana
 
Ndugu inanishanganza sana Toka nitoe mada hii nimekua nikipata tu Indirect hate kutoka kwa baadhi ya commentors humu “Nimekuja kugundua awa ni supporters wa Ontario” mimi sikutoa hate kwa ontario nilitoa Angalizo kwa jamii nakama huyu mentor yupo clean well and good afanye business watanzania wafanikiwe kimaisha Kama yeye anavyodai alivyofanikiwa “as said na support wake”
 
Don't count on them mkuu...you play yor part and it souds helpfull hayo mengine ni uhuru wao kuongea kile walichonacho kichwani mwao kwa sababu kitu ninachokiona hapa since ONTARIO kaanzisha uzi wa forex ni jambo jema na limewasaidia wengi sawa tatizo followers wake si wenye kukubali criticism thats why nilisema sitaki mtu aniquote kwa kutaka niamini anchoamini yeye.
Binaadamu anataka kusikia kile anchokitaka yeye kukisikia kwa maana ya kuelewa....i hope umenipata point yangu mkuu.
 
Ontario alisema anaandika kitabu cha kiswahili kwa ajili yao!! na wenda atakua amekimaliza!!

Kuto kujua english haimaanishi hutajua forex.

vipi ameshaandika kitabu cha kiswahili... mwaka unaisha haonekani humu
 
Mkuu,kiingereza si factor pekee ya kukufanya uwe Fx trader au kuwa best trader! Binafsi issue hii ya forex trading nimeanza kusoma na kuvutiwa nayo way back kwenye mitandao mingine (siyo JF) wakati huo target yangu ilikuwa ni kujifunza namna salama ya ku invest kwenye stock exchange market,huko ndiko nilikokutana na hii kitu ya Fx! Mimi pia wazo langu la kwanza lilikuwa kwamba hii ni biashara nyingine kwa just a choosen few! Especially wale ma First world Soros and Trumps!! Wale wenye uwezo wa kubadili lugha kuwa namba! Lakini taratibu mentality hiyo imeondoka kwangu!suala la lugha si barrier itakayo mzuia mtu yeyote ku trade forex! Mchina asiyejua kiingereza anapiga hela za kutosha tu huko,huku mwingereza mwenye phd akipoteza!! Hii issue iko very complex,mimi si trader,ila napenda kujua what's In! Najifunza kwa bidii zote niweze kuijua vyema,nawasoma wenzangu na kuwauliza maswali pia,nasoma vitabu,nafanya demo, najitahidi kuelewa mazingira yote yanayoizunguka hii biashara kabla ya kujiingiza huko! Kwa sababu pia si lazima niifanye!! Ila napenda tu niijue vizuri! Thanks for ONTARIO ameni inspire alot!
Hivi ni kwa nini ule uzi wa Ontario ulifungwa? Au kuna idadi ya comment ikifika basi lazima uzi ufungwe maana naona kuna nyuzi nyingi tu humu zenye comment zaidi ya ule uzi wa Ontario lakini hazijafungwa ndio maana nashangaa kuona ule uzi umefungwa tena bila sababu za wazi. Au sijui ndiye ile roho ya korosho ya kutotaka watu wengi wasijue kuhusu forex ama ni nini? Hata hivyo moto wa forex ulishasambaa na unaendelea kusambaa kwa kasi ya 5G a.k.a upepo wa kisulisuli.
 
Us cent. Maana yake Natumia cent acc.

Alafu kuhusu kutoa ni hivi,
Kwa siku nimejiwekea kupata 2$. Lakini huwa napata mpaka 5$. Kinachozidi nitakua nakitoa pale nikiwa nahitaji hela.
Pia nina vyanzo vingine vya mapato ndio maana sina wasiwasi mkuu.

Hii biashara inahitaji malengo ya muda mrefu ili ifanikiwe. Hapo ndo utaipenda na hutapata hasara kamwe
Kosa kubwa la traders wengi wa forex wanaoanza kutrade na hata ambao wapo kwenye hii biashara kitambo ni kutaka kutatua shida zao za kila siku kwa njia ya forex kitu ambacho ni uongo/not realistic. Hata ukifungua duka leo halafu ukategemea hilo duka ndiyo liendeshe maisha yako ya kila siku wewe na familia yako utafulia tu fasta sana. Na ndicho hicho traders wengi hasa wapya wanafikiria pindi wanapoingia kwenye hii biashara na ndio maana kuchoma akaunti kumeshamiri. Kwa ufupi wengi tunatrade forex bila malengo (trading plan) na tunataka mafaniko ya haraka ndani ya muda mfupi tena kwa mtaji mdogo.. Huwezi kushinda vita yoyote ile kama huna plan (strategy) ya kupigana hiyo vita hata kama una siraha kali kuliko adui yako. Ndiyo maana unaposema kwamba wewe kwa siku unalenga kupata dollar 2 on average wengine humu wanashaangaa.

Kwa uzoefu wangu mdogo naamini kwamba kama una knowledge, trading skills and trading system plus trading plan (strategy) nzuri ambayo umeprove kwamba inafanyakazi vizuri basi hilo suala la kupata dola 2 kwa siku (on average-maana kuna siku unaweza kupiga hata dola 15 na siku nyingie unaweza kula hata hasara ya dola 2 au 3) linatekelezeka vizuri kabisa. TATIZO WENGI HATUNA TRADING PLAN/STRATEGY TUNAJUA TU KUFANYA ANALYSIS, KUWEKA POSITION NA STOP LOSS NA TAKE PROFIT BASI. BILA TRADING PLAN/STRATEGY INAYOELEWEKA NI KAMA UNAFANYA TU GAMBLING SOMETIMES UNAKWENDA MBELE HATUA 10 NA KURUDI NYUMA HATUA 15.
 
Biashara Ya forex Trading (Foreign exchange market) inakuja kwa kasi sana nchini kwa sasa Wa Tanzania wengi wamekumbana na changamoto kubwa ya kupata waalimu wenye sifa stahiki kuwafundisha forex wengi ya hawa ma forex GURU wamekua sihalali nawanachokitaka Tu ni pesa za wanafunzi wao nakuwaacha bila elimu sahihi juu ya biashara hii sasa mimi kama Mfanya biashara wa hii biashara yapata miaka minne sasa nimeona BURE kabisa ni wasogezee wana JAmiii mambo yakuzingatia kabla hujalipia Kupata elimu hii kwa mtu yoyote.

1. ''Mentor" huyo lazima awe na record safi ya forex trading
kwanza kabisa mwalimu anaetaka kukufundisha forex lazima awe anaonesha anajua anachokizungumza kwa ushahidi wa uhakika kwamba yeye pia anatengeneza pesa na forex ushahidi huu, akuoneshe record yake ya account ya LIVE sio demo, Awe na record isiyopungua miaka mitatu ikiionesha kua anafanya Vizuri. Ningetoa ushauri akuoneshe Record ya MYfxbook

2. Mentor huyo lazima awe mtu anaekuhamasisha
Awe mtu aaekuhamasisha sio tu kwenye forex bali hata nyanja zingine zakimaisha awe mtu ambae utamwambia malengo yako nk

3. Mentor uyo awe mtu unaemwamini
lazima awe mtu ambae unaeuwezo wakumwamini kwakufunguka kwake kwa sababu sio tuu utakua unafuata njia yake ya Trading bali hata njia zake zakimaisha kama Trader.
Kama humwamini itakua ngumu sana kujifunza kutoka kwake. Cha muhimu zaidi baadae utafungua LIVE ACCOUNT je uyu nimtu ambae unaamini anchokifundisha kitakufanya usipoteze pesa yako kwenye hii biashara

4. Lazima awe mkweli
Forex trading sio sehemu yakukutajirisha haraka, kama mentor wako anakuhakikishia mafanikio ya haraka ni bora ufikirie marambilimbili. Lazima aweze kukwambia ukweli akueleweshe kwamba biashara ya forex sio bishara rahisi ni jukumu la mentor kukuandaa haswa kwa kwavipindi vigumu.

5. Lazima awe mtu amabae anakuandaa uweze kujitegemea kama Trader.
Mentor mzuri awe yule anakutengenezea mazingira yakujitegema kama trader, Nasio tukukufanya utegemee signal kutoka kwake.

Bishara ya forex Trading inawezekana kupata faida nayo tena consistently nakumbuka alienifanya niamini hii kitu ilikua

Miezi minne iliopita nlikutana na kijana anaitwa Moki.jr alini inspire sana maaana ndo alikua mtu wakwanza anafanya hii biashara niliomuana live kupitia account yake. Aliniambia Alijifunza kupitia mentor wake aliepo Malaysia nikaamini kwamba Forex ukiweka jitahada inawezekana.

"Watanzania tuwe makini Forex ni biashara kama biashara zingine na ukiijua namana ya kuifnya vizuru kwa faida mafanikio yapo nanimakubwa". Asanteni.
Nimeipenda hii
 
Kuna mahali umesema umefanya hii biashara kwa miaka 4 alafu kuna sehemu unasema aliykushawishi kuingia kwenye hii biashara ulikutana naye miezi 4 iliyopita ebu fafanua vizuri hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom