Biashara Ya forex Trading (Foreign exchange market) inakuja kwa kasi sana nchini kwa sasa Wa Tanzania wengi wamekumbana na changamoto kubwa ya kupata waalimu wenye sifa stahiki kuwafundisha forex wengi ya hawa ma forex GURU wamekua sihalali nawanachokitaka Tu ni pesa za wanafunzi wao nakuwaacha bila elimu sahihi juu ya biashara hii sasa mimi kama Mfanya biashara wa hii biashara yapata miaka minne sasa nimeona BURE kabisa ni wasogezee wana JAmiii mambo yakuzingatia kabla hujalipia Kupata elimu hii kwa mtu yoyote.
1. ''Mentor" huyo lazima awe na record safi ya forex trading
kwanza kabisa mwalimu anaetaka kukufundisha forex lazima awe anaonesha anajua anachokizungumza kwa ushahidi wa uhakika kwamba yeye pia anatengeneza pesa na forex ushahidi huu, akuoneshe record yake ya account ya LIVE sio demo, Awe na record isiyopungua miaka mitatu ikiionesha kua anafanya Vizuri. Ningetoa ushauri akuoneshe Record ya MYfxbook
2. Mentor huyo lazima awe mtu anaekuhamasisha
Awe mtu aaekuhamasisha sio tu kwenye forex bali hata nyanja zingine zakimaisha awe mtu ambae utamwambia malengo yako nk
3. Mentor uyo awe mtu unaemwamini
lazima awe mtu ambae unaeuwezo wakumwamini kwakufunguka kwake kwa sababu sio tuu utakua unafuata njia yake ya Trading bali hata njia zake zakimaisha kama Trader.
Kama humwamini itakua ngumu sana kujifunza kutoka kwake. Cha muhimu zaidi baadae utafungua LIVE ACCOUNT je uyu nimtu ambae unaamini anchokifundisha kitakufanya usipoteze pesa yako kwenye hii biashara
4. Lazima awe mkweli
Forex trading sio sehemu yakukutajirisha haraka, kama mentor wako anakuhakikishia mafanikio ya haraka ni bora ufikirie marambilimbili. Lazima aweze kukwambia ukweli akueleweshe kwamba biashara ya forex sio bishara rahisi ni jukumu la mentor kukuandaa haswa kwa kwavipindi vigumu.
5. Lazima awe mtu amabae anakuandaa uweze kujitegemea kama Trader.
Mentor mzuri awe yule anakutengenezea mazingira yakujitegema kama trader, Nasio tukukufanya utegemee signal kutoka kwake.
Bishara ya forex Trading inawezekana kupata faida nayo tena consistently nakumbuka alienifanya niamini hii kitu ilikua
Miezi minne iliopita nlikutana na kijana anaitwa
Moki.jr alini inspire sana maaana ndo alikua mtu wakwanza anafanya hii biashara niliomuana live kupitia account yake. Aliniambia Alijifunza kupitia mentor wake aliepo Malaysia nikaamini kwamba Forex ukiweka jitahada inawezekana.
"Watanzania tuwe makini Forex ni biashara kama biashara zingine na ukiijua namana ya kuifnya vizuru kwa faida mafanikio yapo nanimakubwa". Asanteni.