Mentor analipwa bei gani kukufundisha kubeti?Unaweza ku expand kidogo hiyo taarifa ya kwamba "Forex ni betting." Na maana maelezo zaidi maana umetuweka katika dilemma kielewa una maanisha nini exactly.
Define na toa example kuhusu betting na forex ni nini ili tuelimike zaidi mkuu.
My words are not the overall principle. They will remain to be my opinion and that is what I see. We will only differ in team of how many agree with our opinions. That's all aboutThat's your opinion. With due respect, a person may be a hero to you but not to all! And thats my opinion too, you are free to disagree!
Mentor analipwa bei gani kukufundisha kubeti?
Tuko na mwenzenu Troll naye anapiga mzigo kama kawa.... Endeleeni kupoteza muda...That's your opinion. With due respect, a person may be a hero to you but not to all! And thats my opinion too, you are free to disagree!
Sipingi mawazo yako kwamba forex ni betting, ila toa maelezo zaidi with evidence if possible ueleweke una maana gani.Mentor analipwa bei gani kukufundisha kubeti?
Bila huyo jamaa nisingejua kuwa kuna kitu kinaitwa forex.Ndio maana nasema ontario amekomboa wengi!!
Wrongforex kunamchezo unachezeka Michezo feki, kuna mda mwingine wanapandisha grafu ya dolla, watu wanatrade, kisha wanashusha muda huo huo. someni vizuri na hasa soma dar forex MKT, waakupa ukweli mtupu.jinsi mchezo huu ulivyo upo kama betting. au forex=betting
Wewe hauna tofauti na zitto kabwe.. Hauna msimamo kabisaUnaweza ku expand kidogo hiyo taarifa ya kwamba "Forex ni betting." Na maana maelezo zaidi maana umetuweka katika dilemma kielewa una maanisha nini exactly.
Define na toa example kuhusu betting na forex ni nini ili tuelimike zaidi mkuu.
Sorry, nilidhani ni miongoni mwa wafia Forex.Sipingi mawazo yako kwamba forex ni betting, ila toa maelezo zaidi with evidence if possible ueleweke una maana gani.
Define na toa example kuhusu betting na forex ni nini badala kuniuliza maswali! Kama jibu halipo bora tuambie tufunge mjadala.
hichi ndo kitu kilichonifelesha forex mwanzoniBila huyo jamaa nisingejua kuwa kuna kitu kinaitwa forex.
Forex inataka mtu mwenye malengo ya kukuza mtaji.
Ndio maana wanasema haipo kwaajili ya wasio na kazi.
Maana yake ni kwamba, usianze forex kwa lengo la kukidhi mahitaji yako, utafeli.
Kwa upande wangu nimejiwekea malengo ya kupata japo dollar 2 tu kwa siku kwa muda wa miezi 6. Baada ya hapo nimepanga kupata japo dollar 4 tu kwa siku kwa muda wa miezi 6.
Angalia mchanganuo hapa chini.
2018 June = $2
2018 DEC = $4
2019 June = $8
2019 dec = 16
.
.
.
.
2027 DEC = $1048576 kwa siku.
Mtaji wangu ni $200. Natumia cent acc ambayo lot naweka 0.10.
Hata trade ingeenda kinyume na mimi, acc haiwezi kuungua.
Nina malengo ya kutajirika miaka 10 ijayo kama nitakua hai. Hivyo ndivyo forex inataka
"Fedha sio msingi wa maendeleo" Nyerere.Tuko na mwenzenu Troll naye anapiga mzigo kama kawa.... Endeleeni kupoteza muda...
Sipingani na wewe mkuu. Ila naomba nikwambie kitu. Hakuna biashara isiyo na malengo.hichi ndo kitu kilichonifelesha forex mwanzoni
1. Usiweke Malengo ya fedha kila siku wala kila mwezi unajichimbia kabuli maana apo utakachokua unakifanya emtionally nikutafuta opportunity ata kwa kuforce ili ufikie Hesabu zako zakaratasi "acha strategy yako iproduce results "Trade tu pindi nafasi zinapojitokeza"
"Kwa maulizo kuhusiana na hii biashara kupata uzoefu wa hapa Mni Dm maaana nimeshaitwa mbinafsi sasa nafungua milango" Na hudumaa hii ni BUREEEEEEEEEEEEEEEE Sitaki pesa ya mtu siina IB contract kwambe ukafungue account kwa broker wangu nipate commission sitaki cha mtu pesa ninayotengeneza na forex inanitosha Narudia ni BUREEEEEEEEEEEEEEEE Sitaki pesa ya mtu
Angalau wewe unasomeka kuwa unapiga hela.hichi ndo kitu kilichonifelesha forex mwanzoni
1. Usiweke Malengo ya fedha kila siku wala kila mwezi unajichimbia kabuli maana apo utakachokua unakifanya emtionally nikutafuta opportunity ata kwa kuforce ili ufikie Hesabu zako zakaratasi "acha strategy yako iproduce results "Trade tu pindi nafasi zinapojitokeza"
"Kwa maulizo kuhusiana na hii biashara kupata uzoefu wa hapa Mni Dm maaana nimeshaitwa mbinafsi sasa nafungua milango" Na hudumaa hii ni BUREEEEEEEEEEEEEEEE Sitaki pesa ya mtu siina IB contract kwambe ukafungue account kwa broker wangu nipate commission sitaki cha mtu pesa ninayotengeneza na forex inanitosha Narudia ni BUREEEEEEEEEEEEEEEE Sitaki pesa ya mtu
Ingekua sio msingi wa maendeleo magufuli asingekua anahangaika na kodi plus makinikia(japo walitaka tilions kadhaa wameambulia bonus ya bilion kadhaa)!"Fedha sio msingi wa maendeleo" Nyerere.
Ukitaka kutapeliwa kweye "sio" weka "ndio"
Kwenye "Nyerere weka jina lako.
Umesoma pamoja na mapendekezo yangu au umesoma nukuu pekee na kuamua kuijibu nukuu!?Ingekua sio msingi wa maendeleo magufuli asingekua anahangaika na kodi plus makinikia(japo walitaka tilions kadhaa wameambulia bonus ya bilion kadhaa)!
Nimependa sana malengo yako ni jinsi ulivyoelezea lakini kwa lot size kama hio na initial deposit ya $200 zipo baadhi ya trades ambazo zitaunguza akaunti yako labda utumie lot size ya 0.02, kitu kingine ni kwamba kweli unayo hio discipline ya kuangalia zaidi ya$100,000 kwenye trading account yako bila kuwithdraw. Kwangu mm sio realistic kwasababu kumbuka kua a lot can happen in 10years unaweza ukapata matatizo ya ghafla ambayo inahitaji hela nyingi na hivyo unajikuta una - withdraw hela yako yote kwenye trading acc yako.Bila huyo jamaa nisingejua kuwa kuna kitu kinaitwa forex.
Forex inataka mtu mwenye malengo ya kukuza mtaji.
Ndio maana wanasema haipo kwaajili ya wasio na kazi.
Maana yake ni kwamba, usianze forex kwa lengo la kukidhi mahitaji yako, utafeli.
Kwa upande wangu nimejiwekea malengo ya kupata japo dollar 2 tu kwa siku kwa muda wa miezi 6. Baada ya hapo nimepanga kupata japo dollar 4 tu kwa siku kwa muda wa miezi 6.
Angalia mchanganuo hapa chini.
2018 June = $2
2018 DEC = $4
2019 June = $8
2019 dec = 16
.
.
.
.
2027 DEC = $1048576 kwa siku.
Mtaji wangu ni $200. Natumia cent acc ambayo lot naweka 0.10.
Hata trade ingeenda kinyume na mimi, acc haiwezi kuungua.
Nina malengo ya kutajirika miaka 10 ijayo kama nitakua hai. Hivyo ndivyo forex inataka
Natumia USC sio USD. Yaani inasoma 20000 USC mkuuNimependa sana malengo yako ni jinsi ulivyoelezea lakini kwa lot size kama hio na initial deposit ya $200 zipo baadhi ya trades ambazo zitaunguza akaunti yako labda utumie lot size ya 0.02, kitu kingine ni kwamba kweli unayo hio discipline ya kuangalia zaidi ya$100,000 kwenye trading account yako bila kuwithdraw. Kwangu mm sio realistic kwasababu kumbuka kua a lot can happen in 10years unaweza ukapata matatizo ya ghafla ambayo inahitaji hela nyingi na hivyo unajikuta una - withdraw hela yako yote kwenye trading acc yako.
USC ndio kitu gani mkuuNatumia USC sio USD. Yaani inasoma 20000 USC mkuu
Malengo mbn yako chini dah hapana kwangu mm bora nisiingie kbsNimependa sana malengo yako ni jinsi ulivyoelezea lakini kwa lot size kama hio na initial deposit ya $200 zipo baadhi ya trades ambazo zitaunguza akaunti yako labda utumie lot size ya 0.02, kitu kingine ni kwamba kweli unayo hio discipline ya kuangalia zaidi ya$100,000 kwenye trading account yako bila kuwithdraw. Kwangu mm sio realistic kwasababu kumbuka kua a lot can happen in 10years unaweza ukapata matatizo ya ghafla ambayo inahitaji hela nyingi na hivyo unajikuta una - withdraw hela yako yote kwenye trading acc yako.
Us cent. Maana yake Natumia cent acc.USC ndio kitu gani mkuu