Mambo yalianza kuhariba baada ya hawa Marais kufariki. Chuki na hasira vipo mioyoni mwa Watanzania

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Mpaka leo kuna hasira kubwa ndani ya mioyo ya Watanzania.

Baada ya hawa viongozi kufariki.
 
Attachments

  • FB_IMG_1764871080405.jpg
    FB_IMG_1764871080405.jpg
    59.3 KB · Views: 24
Mpaka leo kuna hasira kubwa ndani ya mioyo ya Watanzania.

Baada ya hawa viongozi kufariki.
Huu usen@@nge unaondelea sasa muasisi wake ni Magufuli, ni bahati tu aliienda motoni mapema, lakini haya maandano yalikuwa yanaenda kumkuta.
 
Wewe una chuki binafsi na shujaa wa Afrika. Unajulikana.
 
Kwa hiyo walitakiwa kuishi milele?
 
Sio kweli. Sababu ni uongozi mbaya wa samia.
 
Back
Top Bottom