Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Zamani ilikuwa mwanamke akipika Chakula halafu mumewe akakataa Kula kwasababu hajakipenda walikuwa wanalia sana...
Lakini siku hizi mwanaume akikataa Chakula mwanamke anakichukua mezani anarudi nacho mpaka jikoni anaongezea hapo nyama mbili tatu na msosi kidogo halafu anakibugia Chote.
Haya mabadiliko yanasababishwa na nini?