Mambo yalivyokua zamani na yalivyo sasa kwenye ndoa zetu

Huyo anaesusa chakula itakuwa kashiba tu sidhani kama mtu anaweza kususia chakula akiwa na njaa
Kuna shost alinipa stori alivyonunuliwa kiwanja Mbezi Jogoo miaka hiyoo baada ya kumaliza form four
Alipata kazi kama receptionist. Mmoja wa vibosile alimtongoza. Anasema ilikuwa mistake alipomkaribisha kwake alijakikisa chapati na mchuzi wa kuku mwanaume alilishwa. Shurti kupewa upande wa khanga.
 
Nadhani nyakati hizi mizani imeshaanza ku balance( equality), mke haendeshwi, anaweza kujisimamia. sababu ni elimu, utandawazi, na uchumi wa familia kumilikiwa na pande zote.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] yani ushajichokea umetoka kazini ukajikaza ukapika na chakula afu anakuja kusema ameshiba woiii tena unatafuta na juice unashushia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee
 
Nadhani nyakati hizi mizani imeshaanza ku balance( equality), mke haendeshwi, anaweza kujisimamia. sababu ni elimu, utandawazi, na uchumi wa familia kumilikiwa na pande zote.
Kwel kabisa
 
Back
Top Bottom