Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Eka du 😂Wahindi ndo wanamahaba ya kulishana na kula sahani moja tena kwa mkono.
Kazi kwenu mlioko kwenye hiyo taasisi.
Nimekumbuka wimbo wa kisambaa; UNYUMBAA NI MAPAATAANOO NA MKAZIEE KUHEEMBEEZAANAAA.......