Mambo yalivyokua zamani na yalivyo sasa kwenye ndoa zetu

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Zamani ilikuwa mwanamke akipika Chakula halafu mumewe akakataa Kula kwasababu hajakipenda walikuwa wanalia sana...

Lakini siku hizi mwanaume akikataa Chakula mwanamke anakichukua mezani anarudi nacho mpaka jikoni anaongezea hapo nyama mbili tatu na msosi kidogo halafu anakibugia Chote.

Haya mabadiliko yanasababishwa na nini?
 
Kiukweli wanawake hawalii sababu siku hizi wanaume walio wengi wao sio kwamba hawali kwa kuwa hawajakipenda chakula ila walio wengi wanakuwa wameshiba huko watokako.

Kwani kikawaida kupika chakula ndani ya nyumba Me huwa anashirikishwa kwamba Baba leo tule nini na hata kama hajashirikishwa lazima kipikwe kile ambacho anakipenda au kile ambacho kimezoeleka kuliwa hapo home na yeye akiwa mmoja wapo.

Na kama hakijapikwa kwa kiwango anachokitaka yampasa kujua kuna kuteleza pia siku moja moja na sio kususa.
 
Wew kuachika sio leo wala keshoo dada
 
Umeonaeee. Usawa huu unaanzaje kususa huku wenzio wanakula. Mie pia naona anakuwa kashiba huyo.

Ikitokea tulage tu jamaani na sio kwamba hatuwapendi tunawapenda sana ila kulia NO.
Au sio[emoji23] [emoji23]
 
Wahindi ndo wanamahaba ya kulishana na kula sahani moja tena kwa mkono.

Kazi kwenu mlioko kwenye hiyo taasisi.

Nimekumbuka wimbo wa kisambaa; UNYUMBAA NI MAPAATAANOO NA MKAZIEE KUHEEMBEEZAANAAA.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…