Mambo yalivyokuwa enzi hizo

Mambo yalivyokuwa enzi hizo

Sauti ya Mamlaka

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,601
Reaction score
2,354
Tunabishana sana kwa hoja lakini baadae mambo yanakua bull bull.

IMG_20191226_182845.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama Spika akiwa na yule jamaa waliyempiga risasi 32 na 16 kwenye paja?
hapa anaselebuka.

duh hapana sio sijui km enzi hizo za Demokrasia na Uhuru Tz zitarudi
 
Tundu Lissu bhana! Alitoa mpaka ulimi ili kuonesha tu ni namna gani alimdhibiti Mheshimiwa Spika katika himaya yake!

Bahati mbaya hapa tulipo, na pia huko tunakoelekea, iwapo mambo yatabakia kama yalivyo, basi vitu kama hivi vitaendelea kubakia tu kama historia.
 
Hapo Ali iweza serikali pia Ali muweza spika kisawasawa sjui nahuyupia utamuweza,na subir urudi" Tundu lissu2020"
 
Enzi hizi Dah,

Nimeumia sana kuona HUWEZI kurudisha nyakati za nyuma kuwa wakati uliopo.

Kumrudisha Lissu aliyekuwa hajapigwa risasi, kumrudisha Makinda bungeni, kurudisha Kikwete madarakani.

Haiwezekani. [emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmeshangaa sana leo kusikia Dunia inaadhimisha miaka 15 tangu itokee Tsunami Indonesia dec 26 2004. Muda bhana sio rafiki kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom