View attachment 3395160
Usichokijua kuhusu TECNO SPARK 40 na mambo yaliyofichwa ndani yake !!!
Kampuni ya TECNO imeachia matoleo matatu ya SPARK 40 Series;
โ TECNO SPARK 40
โ TECNO SPARK 40 PRO na
โ TECNO SPARK 40 PRO +
View attachment 3395162
TECNO wametisha kinoma noma leo nakuletea baadhi ya feature utakutana nazo kwenye toleo jipya.
๐ Free link
Hii ni feature ambayo inakusaidia kuweza kufanya mawasiliano kwenye eneo ambalo hakuna mtandao bila Bando utaweza kufanya mawasiliano mpaka umbali wa kilomita 2 kwa kuwasiliana na uwapendao bila Bando kupitia Bluetooth utaweza kutuma ujumbe, kupokea au kupiga voice calls na kutuma sms.
View attachment 3395167
๐ก TECNO AI
Amekuja na Akili bandia anaitwa ELLA ambayo ina nguvu ya Deepseek, Gemini na chatGpt kwa kuweza kukusaidia na kurahisisha mawasiliano kwa kuediti picha zako, kubadili documents kuwa ujumbe, kurekebisha picha zako kwa kuondoa kitu usichokitaka.
View attachment 3395168
๐ Water resistant
haijalishi unapiga simu kwenye Mvua unachati au kupiga picha mahali Kuna vumbi Kali, Mvua kubwa we enjoy TU hii simu haingizi maji kabisa ina IP 64 rating ambayo inakusaidia kuzuia vumbi na maji kuingia kwenye mfumo wa simu yako.
View attachment 3395171
๐ Ili kusherehekea uzinduzi huo, kila ukinunua SPARK 40 Series unapata siku 180 za kustream Poaflix na warranty ya miaka miwili bure.
#bongotech255 #tecnomobiletanzania #tecnospark40