๐— ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ผ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐—ฐ๐—ป๐—ผ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ

Tembelea duka la TECNO mobile Tanzania utaweza kupata taarifa kamili kuhusu Bei View attachment 3395182
Hawa bado... Kwa nini wanapenda kujifananisha na brand zingine. Angalia hizo picha za simu hizo wanaigaiga tu hadi ma kamera!!!

Niliwahi kutumia tecno zaman sana ilipoanza ku stuck stuck niliachana na brand hiyo hadi leo.
 
Watu hawataki kuamini toleo jipya la TECNO Spark 40 umeanza kutoka kabla simu mpya ya iphone lakini wengi wanasema Tecno kamuiga ignore ila kiuwalisia ni Uongo

Pia matoleo mapya TECNO haswa spark suala la ku stuck sahau boss ๐Ÿ’ก
 
Bei ikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ