Mambo yaliyokuwa yanakuudhi nyumbani ulipokuwa mdogo...

Safi sana basi kuku ipikwe nyingi ya nyumbani na ya wageni alaaa hata mi siwapendi kabosa wageni nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana basi kuku ipikwe nyingi ya nyumbani na ya wageni alaaa hata mi siwapendi kabosa wageni nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Wageni wenyewe wa siku hizi ni nuksi tu wanakimbia vyuma kukaza huko makwao wanataka kuja kujazana kwako ili iweje kwanza ndo wachunguzaji wa maisha mnayoishi pale home kwako na kupeleka huko walipotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Asee sie watoto wapwani wazazi wetu ni 'waswahili' 'swahili' fulani ivi,

Nakumbuka mama alikua akiniagiza kitu kama ikiwa sikukiona namjibu Mama 'sikioni' basi yeye hunijibu 'Puani', Aisee hiyo tabia ilikuwa yanikeraa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…