Mkurabitambo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2010
- 230
- 57
watoto wa siku hizi wanapenda sana shule , maana naamini ningelikuwa mimi(pengine hata wewe) ndo walimu hawapo shule ningerudi nyumbani tu, wala nisingeandamana sijui kwenda wizarani, kwanza ningelifurahi sana, nadhani mambo yamebadilika sana sasa hivi, hawa madogo hawachapwi kwanza. Sijui wengine mna mtazamo upi?? Nakumbuka siku ambazo nilikuwa napenda kwen​da shule ni siku za mitihani na matokeo basi.