mambo yamebadilika,Watoto wanapenda shule siku hizi...

mambo yamebadilika,Watoto wanapenda shule siku hizi...

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2010
Posts
230
Reaction score
57
watoto wa siku hizi wanapenda sana shule , maana naamini ningelikuwa mimi(pengine hata wewe) ndo walimu hawapo shule ningerudi nyumbani tu, wala nisingeandamana sijui kwenda wizarani, kwanza ningelifurahi sana, nadhani mambo yamebadilika sana sasa hivi, hawa madogo hawachapwi kwanza. Sijui wengine mna mtazamo upi?? Nakumbuka siku ambazo nilikuwa napenda kwen​da shule ni siku za mitihani na matokeo basi.
 
watoto wa siku hizi wanapenda sana shule , maana naamini ningelikuwa mimi(pengine hata wewe) ndo walimu hawapo shule ningerudi nyumbani tu, wala nisingeandamana sijui kwenda wizarani, kwanza ningelifurahi sana, nadhani mambo yamebadilika sana sasa hivi, hawa madogo hawachapwi kwanza. Sijui wengine mna mtazamo upi?? Nakumbuka siku ambazo nilikuwa napenda kwen da shule ni siku za mitihani na matokeo basi.

Uji wa mchele mashuleni unahusika...
 
Back
Top Bottom