Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hongera Yanga Afrika, hongereni pia Ihefu. Mipango imeenda kama ilivyopangwa, itifaki imezingatiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ni pesa manji alipozingukiwa yanga ikawa na njaa maana kwanza zama hizo hata mikataba ilikuwa michache.Kwani huyo aliye katikati ya hao waliovaa bluu hapo chini ndo yule mmiliki wa Singida nini sijui?
- Alipokuwa waziri, na raisi akiwa mwanachama mwenzake pale jangwani, timu ilifanya vizuri.
- Yeye alipotoka madarakani na yeye akaukosa uwaziri, GSM chaliiii, Manji akakimbia nchi, jamaa wakateseka misumu kadhaa!
- Wamerudi madarakani, eti kila mechi wanashinda 5
Huna haja ya kujiuliza...jamaa wanaujua mpira, balaaa!
Hata Simba na Belouizdad ni tawi la Yanga, au unataka kusema Simba alikuwa anafungwa hovyo na Yanga?Kabla singida haijahamia Ihefu haijawahi kufungwa hovyo,Ihefu imekuwa tawi la Yanga rasmi,bahasha imetembea hapo na matokeo yalipangwa
Zile 5 za mbumbumbu Mwigulu alitoa kiasi gani mrembo?Kabla singida haijahamia Ihefu haijawahi kufungwa hovyo,Ihefu imekuwa tawi la Yanga rasmi,bahasha imetembea hapo na matokeo yalipangwa
msitete ujinga ligi yenu inaupagwaji mkubwa sana wa matokeo hakuna ligi Tena zaidi ya kupotezea watu mda tuHata Simba na Belouizdad ni tawi la Yanga, au unataka kusema Simba alikuwa anafungwa hovyo na Yanga?
Nasikia sailent ocean alikuwa mufilisi.....Mpira ni pesa manji alipozingukiwa yanga ikawa na njaa maana kwanza zama hizo hata mikataba ilikuwa michache.
Sasa ulitegemea yanga ifanye vizuri wakati timu ilikuwa inalia njaa hata usajili tia tia maji.
Sasa hivi yanga hakuna ukame hivyo kuzigonga timu kwenye league za ndani kawaida tu hata simba alipata zake 5 sijui naye alipokea kitita.
Halafu kama yanga inahonga kama mnavyosema, aisee basi hakuna hata haja ya kusajili wachezaji wa gharama mana si bahasha itaongea...
Ifike mahali wana simba mueleweke, yanga tunaroga au tunahonga maana hamweleweki.
Kwani simba nae alihongwa na gsm??Nasikia sailent ocean alikuwa mufilisi.....
Nazungumzia mpira ndugu, mambo ya kuhonga au kuroga siyafahamu!
Mpira pesa, PSG na Man Utd wasingeteswa huko!
Muhimu sisi ndo wale wale....mitano tena, anaupiga mwingi n.k
Lazma utakuwa shabiki wa simba.msitete ujinga ligi yenu inaupagwaji mkubwa sana wa matokeo hakuna ligi Tena zaidi ya kupotezea watu mda tu
Ushahidi uko wapi? Mmechukua taratibu gani za kuripoti na kupeleka huo ushahidi ili hatua zichukuliwe? Simba alivyofungwa goli tano walitangaza kuwa kuna wachezaji wali hongwa lakini mpaka leo hatujaona wakipeleka shutuma na ushahidi kwenye vyombo husika au hata kuchuliwa hatua. Kuongea bila ushahidi wala kushtaki ni kuamua kuichafua tu taasisi fulani. Kama lengo ni kukomesha basi nendeni mkashtaki. Mpira wa miguu hautajiki hizo mambo ya rushwa wala upangaji wa matokeo ndio maana mnaona timu zinakatwa point na kushushwa daraja. Sasa nyie mnakwama wapi kuwasilisha malalamiko na ushahidi?msitete ujinga ligi yenu inaupagwaji mkubwa sana wa matokeo hakuna ligi Tena zaidi ya kupotezea watu mda tu
Uko sahihi mkuuUshahidi uko wapi? Mmechukua taratibu gani za kuripoti na kupeleka huo ushahidi ili hatua zichukuliwe? Simba alivyofungwa goli tano walitangaza kuwa kuna wachezaji wali hongwa lakini mpaka leo hatujaona wakipeleka shutuma na ushahidi kwenye vyombo husika au hata kuchuliwa hatua. Kuongea bila ushahidi wala kushtaki ni kuamua kuichafua tu taasisi fulani. Kama lengo ni kukimeaha basi nendeni mkashtaki. Mpira wa miguu hautajiki hizo mambo ya rushwa wala upangaji wa matokeo ndio maana mnaona timu zinakatwa point na kushushwa daraja. Sasa nyie mnakwama wapi kuwasilisha malalamiko na ushahidi?
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Kwa Simba kuhongwa ni ajabu? Inawezekana achana na helaHata Simba na Belouizdad ni tawi la Yanga, au unataka kusema Simba alikuwa anafungwa hovyo na Yanga?
Mbona hao Belouizdad umewaruka?Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Kwa Simba kuhongwa ni ajabu? Inawezekana achana na hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnahasira sana aiseewanaaibisha bonde la Ihefu kule mbalali mbeya, ni bora wabadilishe jina la timu maana timu yenyewe haiko mbalali tena.. Viongozi waangalie namna ya kubadili jina la hiyo timu...isiitwe tena "IHEFU". Hilo lijamaa linanuksi ndio maana maisha mitaani ni magumu sana...fedha linachezea tu kama pinoki kwa sauti ya mama yangu mdogo! 😛