Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So mnataka tano mfungwe nyie tu wengine mnawaonea wivu!Kabla singida haijahamia Ihefu haijawahi kufungwa hovyo,Ihefu imekuwa tawi la Yanga rasmi,bahasha imetembea hapo na matokeo yalipangwa
Vyote mnafanyaMpira ni pesa manji alipozingukiwa yanga ikawa na njaa maana kwanza zama hizo hata mikataba ilikuwa michache.
Sasa ulitegemea yanga ifanye vizuri wakati timu ilikuwa inalia njaa hata usajili tia tia maji.
Sasa hivi yanga hakuna ukame hivyo kuzigonga timu kwenye league za ndani kawaida tu hata simba alipata zake 5 sijui naye alipokea kitita.
Halafu kama yanga inahonga kama mnavyosema, aisee basi hakuna hata haja ya kusajili wachezaji wa gharama mana si bahasha itaongea...
Ifike mahali wana simba mueleweke, yanga tunaroga au tunahonga maana hamweleweki.
kwanini asiende kwenye timu ya kwao singidaNimesikitika sana Waziri mzima wa Fedha kaenda kuitia moyo Ihefu matokeo yake imepigwa 5 bila. Je asingeenda?
Ndiyo maana uchumi wa nchi haukui na nchi haiendelei. Kitu kidogo tu kama kuisaidia Ihefu FC ameshindwa ataweza uchumi wa nchi ya 30 kwa ukubwa wa eneo duniani?
Ni huzuni kwa kweli, wakipigwa wao et ooh mnaloga, wakipigwa wengine ooh bahasa, yaani in general hawataki kabisa yang ishinde.Mpira ni pesa manji alipozingukiwa yanga ikawa na njaa maana kwanza zama hizo hata mikataba ilikuwa michache.
Sasa ulitegemea yanga ifanye vizuri wakati timu ilikuwa inalia njaa hata usajili tia tia maji.
Sasa hivi yanga hakuna ukame hivyo kuzigonga timu kwenye league za ndani kawaida tu hata simba alipata zake 5 sijui naye alipokea kitita.
Halafu kama yanga inahonga kama mnavyosema, aisee basi hakuna hata haja ya kusajili wachezaji wa gharama mana si bahasha itaongea...
Ifike mahali wana simba mueleweke, yanga tunaroga au tunahonga maana hamweleweki.
Sifuatulii mpira siku hizi, ingekuwa ni miaka ile ya 2015 kurudi nyuma, lazima ningekuwa nina moja mbili kwenye suala hilo.Kwani simba nae alihongwa na gsm??
maisha magumu sana mkuu, hizo sura zao tukiziona ni kama tunaona MAVI TU aisee 😕[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnahasira sana aisee
Kaka habari ya wewe😂😂😂 kwanini Itifakiii isizingatiwe