Mambo yameenda kama yalivyopangwa, itifaki imezingatiwa

Vyote mnafanya
 
kwanini asiende kwenye timu ya kwao singida
 
Ni huzuni kwa kweli, wakipigwa wao et ooh mnaloga, wakipigwa wengine ooh bahasa, yaani in general hawataki kabisa yang ishinde.
 
Wabongo punguzeni kelele, Yanga wapo vizuri uwanjani kwa sasa...

Kama mti mbichi Simba alichezea mkono, mti mkavu Ihefu ni nani asichezee mkono pia...
 
Kwani simba nae alihongwa na gsm??
Sifuatulii mpira siku hizi, ingekuwa ni miaka ile ya 2015 kurudi nyuma, lazima ningekuwa nina moja mbili kwenye suala hilo.

Ingawa najua, kuhonga timu kunatofautiana, ukiwahonga viongozi, maana yake ni kama umeihonga timu nzima; ukihonga mtu mmoja mmoja, sio kuhonga timu!

Timu kubwa, si rahisi kuhongeka na timu nyingine na hasa ikiwa na ukubwa sawa.

Aishi, Matola etc walitajwa kuhongeka! Sawa tu na enzi za akina Mwameja, timu yote inakuwa Punda, anayeujua mchongo anakuwa mmoja wawili...Mwameja ndani, mzigo unapita airport kiulaini!

Itoshe kusoma, jiesiemu hana pesa zinazoandikika ila kawa tajiri mkubwa sana, nchi haina dolari, watu binafsi wanazo. Uwezo wa kutoa mpaka 5bn wanao, game zao zinaukakasi mwingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…