Mambo yanapobadilika!

Mambo yanapobadilika!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,234
Mapenzi yanapobadilika na uoga kuingia. Yaliyowatokea tujuzeni!

424315_151221241662352_100003234310191_199445_1040773016_n.jpg
 
Kama ni ndani ya ndoa picha ya pili haiwezi tokea
 
ushawahi kusikia usemi kuwa....'in love you chase a woman until SHE catches you'?
 
ushawahi kusikia usemi kuwa....'in love you chase a woman until SHE catches you'?

Waulizeni jirani yenu kenya mwanaume kapigwa hadi kavunjwa mbavu na mkono ndo interpretation ya picha no.2 bado we Bishanga kutolewa kiuno na hao ladies wako
 
Duh,wanawake wa Kenya mie wananiwachaga hoi wakiwatwanga waume zao sijui Huyo mume anakuwaje mbele za watoto wake...
 
umekosea inatakiwa useme kama ulitumia kinga picha ya 2 haiwezi tokea.

Kwanini utumie kinga na ni mumeo...yaani hata ndani ya ndoa mnazikimbia mimba toka kwa wake zenu?
 
Back
Top Bottom