K Katabazi JF-Expert Member Joined Feb 18, 2007 Posts 353 Reaction score 22 Oct 3, 2009 #21 Duuuu-umegusa penyewe mkuu! Kuweka simu kwenye silence hasa ukiwa na mkeo Kayanda said: 1.Kuwa na nyumba ndogo. 2.Kuwa na wivu kwa mkeo. 3.Kuweka simu kwenye silence hasa ukiwa na mkeo. 4.Kuandika majina ya uongo kwenye address book ya simu yako. Click to expand...
Duuuu-umegusa penyewe mkuu! Kuweka simu kwenye silence hasa ukiwa na mkeo Kayanda said: 1.Kuwa na nyumba ndogo. 2.Kuwa na wivu kwa mkeo. 3.Kuweka simu kwenye silence hasa ukiwa na mkeo. 4.Kuandika majina ya uongo kwenye address book ya simu yako. Click to expand...
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,577 Reaction score 565 Oct 3, 2009 #22 kwenda kuomba chumvi, sukari kwa jirani yako. Kujifanya umesahau kiswahili haswa wale waliopo nje ya nchi.
kwenda kuomba chumvi, sukari kwa jirani yako. Kujifanya umesahau kiswahili haswa wale waliopo nje ya nchi.
K Kyatsvapi JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 317 Reaction score 196 Oct 3, 2009 #23 Hahaaaaaa! This is marvelous!
M mcferry Member Joined Sep 21, 2009 Posts 9 Reaction score 0 Oct 6, 2009 #24 kuna baadhi io uswahili kwa kweli