Duuuu-umegusa penyewe mkuu!
Kuweka simu kwenye silence hasa ukiwa na mkeo
Kuweka simu kwenye silence hasa ukiwa na mkeo
1.Kuwa na nyumba ndogo.
2.Kuwa na wivu kwa mkeo.
3.Kuweka simu kwenye silence hasa ukiwa na mkeo.
4.Kuandika majina ya uongo kwenye address book ya simu yako.