Mimi ni Yanga hii mechi ni ngumu sana haiwezi mutabirika kwa maono na tunguli, game mentality ya players ndiyo itakayo amua matokeo.
Nacho kiona, simba watakamia sana hii game afe kipa afe beck hawatarudia makosa, hawatakubali humiliation mara ya pili.
Yanga watakuja na matokeo yaliopita, watajisahau watajikuta sio rahisi kivile, wasipokuwa makini 1st halve tunaweza kufungwa, tutabalika kuudisha goal, tukiwa makini tutarudisha tukishindwa kutumia nafasi tunalala kipindi cha kwanza.
Kipindi chapili simba watadefance zaidi tutapata nafasi tutafunga goal.
Huenda tukaingia matuta hapo, ndipo siwezi kutabiri.