geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,223
yanga tukishinda kule selfika si utatuma picha full[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]And vice versa.
Kama namuona Yanga anavyoenda kuangukia pua.
Hujamalizia uchambuz mkuuMimi ni Yanga hii mechi ni ngumu sana haiwezi mutabirika kwa maono na tunguli, game mentality ya players ndiyo itakayo amua matokeo.
Nacho kiona, simba watakamia sana hii game afe kipa afe beck hawatarudia makosa, hawatakubali humiliation mara ya pili.
Yanga watakuja na matokeo yaliopita, watajisahau watajikuta sio rahisi kivile, wasipokuwa makini 1st halve tunaweza kufungwa, tutabalika kuudisha goal, tukiwa makini tutarudisha tukishindwa kutumia nafasi tunalala kipindi cha kwanza.
Kipindi chapili simba watadefance zaidi tutapata nafasi tutafunga goal.
Huenda tukaingia matuta hapo, ndipo siwezi kutabiri.
Mkuu......huwa haituish kwa historia .....that's y pamoja na YANGA kuchukua ubingwa Mara nying but now ameshindwa kuchukuaKulikuwa ata hakuna haja ya kuweka namba na paragraph maana kuanzia namba 1 Hadi 4 umeongelea Jambo Moja Tu, anyway naomba niulize mkuu Kwa umri wako ilikuwa mwaka gani umeshuudia Yanga kamfunga goli nyingi Simba?
Nitatuma ndiyo 😂yanga tukishinda kule selfika si utatuma picha full[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Huo utabiri wako umenigelezea. Hivyo ndivyo itakavyokuwaMimi ni Yanga hii mechi ni ngumu sana haiwezi mutabirika kwa maono na tunguli, game mentality ya players ndiyo itakayo amua matokeo.
Nacho kiona, simba watakamia sana hii game afe kipa afe beck hawatarudia makosa, hawatakubali humiliation mara ya pili.
Yanga watakuja na matokeo yaliopita, watajisahau watajikuta sio rahisi kivile, wasipokuwa makini 1st halve tunaweza kufungwa, tutabalika kuudisha goal, tukiwa makini tutarudisha tukishindwa kutumia nafasi tunalala kipindi cha kwanza.
Kipindi chapili simba watadefance zaidi tutapata nafasi tutafunga goal.
Huenda tukaingia matuta hapo, ndipo siwezi kutabiri.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nitaku halopesa buku........Nitatuma ndiyo [emoji23]
Na wewe simba akishinda unafanyaje?
UtopoloKuelekea mechi kubwa Africa mashariki, barani Africa na dunia kwa ujumla yafuatayo ni mambo makuu yanayoenda kutokea kwenye mechi ya tarehe 25. Pale kigoma
1. Yanga kumfunga simba, hapa tuwe wakweli tu ni kwamba simba hawezi kuchomoa kwa yanga and this haiwezi kutokea kamwe
2. Simba kufungwa na yanga, pia jambo la pili ni kuwa simba lazima apewe kichapo heavy kutokana na team performance ya yanga jinsi wanavyoheshimu mchezo wa watani......
3. Yanga kumfunga simba goal nyingi, pia hili linaweza kutokea pale ambapo simba wakiteleza kidogo basi mvua ya magoli itawaangukia hawa ndugu zangu
4. Simba kutoa droo and then kutolewa kwenye matuta, japo hili silipi uzito mkubwa kutokea kwan yanga watashinda kwenye hatua za awali kabisa
Ni Mimi mchambuzi wako Andy Townsend
Habari yako mzee mpiriSubir muda ufike