Sasa jf kujioanaga wote wapo bora, hakuna mvulana utamuona humu. Labda mim tuuuMambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume
1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume anapambana hadi mwisho
2. Majukumu. Namna kila mmoja anavyotimiza majukumu yake bila kulalamika
3. Uwezo wa kuthibiti hisia. Mvulana hawezi kutawala hisia zake na anaweza kufanya matukio ya kialifu
4. Wingi wa mbegu za kiume.(hivyo acha kujichua na kula vyakula vyenye afya ili usiwe na mbegu chache)
5. Maisha yako yapo mikononi mwako, mvulana hulalamika anapoona mambo hayaendi, mwanaume utambua maisha yake yapo mkononi mwake
Kuna watu wanakaa kwao na wanauwezo kukuzidi ww na ukoo wako woteWasisahau pia kukataa ndoa huku mpaka leo wanaamkia kwa baba na mama zao huo nao ni uvulana!
Tena uvulana Pro max
Namba 4 ni uongo. Kama kujichua kunapunguza wingi wa mbegu, basi hata sex ingekuwa inaleta tatizo ilo.Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume
1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume anapambana hadi mwisho
2. Majukumu. Namna kila mmoja anavyotimiza majukumu yake bila kulalamika
3. Uwezo wa kuthibiti hisia. Mvulana hawezi kutawala hisia zake na anaweza kufanya matukio ya kialifu
4. Wingi wa mbegu za kiume.(hivyo acha kujichua na kula vyakula vyenye afya ili usiwe na mbegu chache)
5. Maisha yako yapo mikononi mwako, mvulana hulalamika anapoona mambo hayaendi, mwanaume utambua maisha yake yapo mkononi mwake
View: https://youtu.be/WiXagbtiViA?si=30sI-w14zqCOlwJ9
Tusubiri wahusika watutofautishieTofauti ya polisiccm na polisi
View attachment 3042618