Shukrani mkuu
Monstgala ivi kufikia ndoto zangu ninahitaji vitu gani hasa vya kunipush niende where i wanna be
.made in mby city.
LORDVILLE Unasema una malengo mengi sana, Je huoni haja ya kuchambua malengo mengi ili uwe na malengo yale relevant alafu katika hayo uweke bidii na discipline katika kuyafikia? Malengo mengi sana ni ishara ya kwamba huna malengo yenye nguvu. Akija mtu akasema ana malengo sabini na mwingine akasema ana malengo matatu basi yule mwenye matatu inawezekana yuko focused zaidi na anajua afanye nini na yule mwenye sabini labda bado hajui afanye nini.Monstgala nikiwa kama kijana wa chuo/shule, nna malengo mengi sana..naona umegusia discline je discipline pekee ni kigezo cha kufanikiwa? kama nlivyosema nna malengo mengi tena makubwa je nini nianze kufanya ili nifikie malengo yangu hasa kwa kipindi hiki ambacho niko chuo/shule?