hahahaha hii ni kali ..ipo Tanzania tuu•Watangazaji kuwa namba za jazi mgongo. Mfano: Maulid kitenge jezi nambari 9 mgongoni
Mwenyekiti wa chama kupatikana kwa ndiyooooo bira kura........badaye naongeza nyingine
Iv kesi ya Masamaki wa Tra mwenye Nyumba 73 ni lini inasikilizwa na Wenzake.