Mambo yanayopatikana Tanzania tu!

Mambo yanayopatikana Tanzania tu!

Peculiar

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
821
Reaction score
689
•Mtu kuanza kuvua nguo kabla hajafika chooni.

•Watangazaji kuwa namba za jazi mgongo. Mfano: Maulid kitenge jezi nambari 9 mgongoni.

Au nadanganya wakuu??
Kama nadanganya sema wewe ukweli!
Kama ni kweli ongeza jambo unalohisi litakua lafanyika hapa bongo tu!

Karibu
 
Twiga kupitishwa uwanja wa ndeg bila kuonekan lkn bangi zinaonekan
-mgonjwa wa kichwa kupasuliwa mguu,,
-naibu Spika kuingia bungeni na wabunge kutoka
-aliyeshindwa uchaguz mkuu kuwa kiongozi
@ nmeongeza chache tu
 
Mhujumu kuruhusiwa kugombe urahisi. Raisi wake aliyetembelea karibu dunia nzima kwa kipindi kifupi cha miaka 10.
 
sio kuongeza jambo tu, kwani wewe uliwahi kufika japo kenya? ujione watangazaji wanavyo tongozana live kwenye kipindi.
Hiyo yakutongozana live kwenye kipindi,basi utakua inatikana Kenya tu!
 
Iv kesi ya Masamaki wa Tra mwenye Nyumba 73 ni lini inasikilizwa na Wenzake.
 
Mwenyekiti wa chama kupatikana kwa ndiyooooo bira kura........badaye naongeza nyingine
 
Mwenyekiti wa chama kupatikana kwa ndiyooooo bira kura........badaye naongeza nyingine

Umesahau hata mgombea uraisi tena aliye hama chama fulani ndani ya siku 3 tu
 
Kugombania kupanda daladala hata kama mpo watatu kituoni / Mbagala Gombz
 
Back
Top Bottom