Ewaaaaah walau umemaliza kila kitu kwenye comment 1 tuHizo n robo ya sababu za kuchepuka.
Kubwa ni test ya kila shape yan urafi wa mbunye.
Umesahau na umbali ( distance )1.Kunyimwa tendo la ndoa.
2.Kauli mbaya kutoka kwa mke ,
3.Dharau kutoka kwa mke ;
4.Mwanamke kushindwa majukumu yake ya msingi usafi.
4.Matumizi mabovu ya fedha na rasilimali nyingine.
5.Mwanamke kuwa mchafu.
6.Mwanamke kuwa na bond kubwa na familia aliyotoka.
7.Mwanamke kukosa maono na mipango ya muda mrefu
Kwenye umbali hii imenitafuna sanaUmesahau na umbali ( distance )
Distance imefanya hata asiyefikiria kuchepuka aamue kuchepuka.Kwenye umbali hii imenitafuna sana
Hakika mwanangu tunatafuna na kutafuniwa huko huko, fikiria hujakutana na demu miezi 3 distance Dar to Bukoba daaaaahDistance imefanya hata asiyefikiria kuchepuka aamue kuchepuka.
Na both sides hakuna wa kulaumiwa.
Hiyo ni hatari, ww jipigie tu akina nshomile, naye muache apigwe na wala ulojo wa darHakika mwanangu tunatafuna na kutafuniwa huko huko, fikiria hujakutana na demu miezi 3 distance Dar to Bukoba daaaaah
Mimi ndio nipo Dar acha nitafune hawa viumbeHiyo ni hatari, ww jipigie tu akina nshomile, naye muache apigwe na wala ulojo wa dar
Basi vice versa mkuu, ila bukoba mbali we msahau tuMimi ndio nipo Dar acha nitafune hawa viumbe