Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 563
- 1,567
UVIVU TU hayo Mengine hayana Shida kabisa yamekuwepo tangu enzi na watu wametoboa vizuri tu.Haya ni mambo ambayo yanatufanya vijana tusiaminike.
Haya matatu yanaweza kukwamisha maisha yako yote bila wewe kujua.
- Historia za familia zetu
- Tabia zetu
- Mitazamo yetu.