halafu hii tabia imepamba moto siku hizi sijui kuna ninimm pia spendi mtu kuizungumzia vibaya punyeto
halafu hii tabia imepamba moto siku hizi sijui kuna nini
hujanielewa vizuri..hebu soma tenandiyo kusema mnapigia debe huo ujinga? kwani hamjui njia mbadala? Hongereni wote mnakandia punyeto mmojawapo mimi. sijawahi na sipendi hata kusikia masikioni
hapo ndo uwezo wako umeishia jf ina majukwaa mengi chagua ww uende waphujanielewa vizuri..hebu soma tena
[emoji85] [emoji85]Et unakuta mwanaume mzima anakwambia hajawah fanya masterpunyeto,huwa nawashangaa sana,walikulia wapi
mkuu wanaboa sana utaona mtu ana quote gazeti nzimatabia ya ku'quote post ndefu inaboa sana.
kwahio ww ni mtaalamu wa goli LA mkonomm pia spendi mtu kuizungumzia vibaya punyeto
kuna huyo mmoja aliquote uzi mmoja mrefu vibaya jukwaa la intelijensia halafu chini akaandika 'duuh' aise watu walimmainda balaamkuu wanaboa sana utaona mtu ana quote gazeti nzima
Wewe unastahili "ban" kwa lugha uliyotimia na maudhui ya bandiko lakomm pia spendi mtu kuizungumzia vibaya punyeto
hii inanikera kushinda zote, mpaka hua naangalia nani kaanzisha uzi ndipo nisome2: kuleta hoja/taarifa bila maelezo/ufafanuzi wa kutosha
kwa muda mchache niliojiunga jf nimegundua mambo ambayo huwa yanawakera mno wakiwa jf
1: kuleta habari inayowagusa hisia/maslahi watu wengi ikiwa haina chanzo cha taarifa
2: kuleta hoja/taarifa bila maelezo/ufafanuzi wa kutosha
3: kushindwa kuandika maneno/sentensi ya lugha yoyote ile kwa ufasaha
4: kuwasema vibaya member ambao wanaheshimika mno hap jf
5: kuleta mada yenye viashiria vya kuonyesha kuwa mleta mada hajakomaa kiakili..
tuongezee na vingine
Angalizo: Kukerwa ni subjective and not public ie is not a concept, to me:kwa muda mchache niliojiunga jf nimegundua mambo ambayo huwa yanawakera mno wakiwa jf