mambo yanayowakera wana jf wengi

mambo yanayowakera wana jf wengi

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
kwa muda mchache niliojiunga jf nimegundua mambo ambayo huwa yanawakera mno wakiwa jf
1: kuleta habari inayowagusa hisia/maslahi watu wengi ikiwa haina chanzo cha taarifa

2: kuleta hoja/taarifa bila maelezo/ufafanuzi wa kutosha

3: kushindwa kuandika maneno/sentensi ya lugha yoyote ile kwa ufasaha

4: kuwasema vibaya member ambao wanaheshimika mno hap jf

5: kuleta mada yenye viashiria vya kuonyesha kuwa mleta mada hajakomaa kiakili..

tuongezee na vingine
 
halafu hii tabia imepamba moto siku hizi sijui kuna nini

ndiyo kusema mnapigia debe huo ujinga? kwani hamjui njia mbadala? Hongereni wote mnakandia punyeto mmojawapo mimi. sijawahi na sipendi hata kusikia masikioni
 
ndiyo kusema mnapigia debe huo ujinga? kwani hamjui njia mbadala? Hongereni wote mnakandia punyeto mmojawapo mimi. sijawahi na sipendi hata kusikia masikioni
hujanielewa vizuri..hebu soma tena
 
Mtu anakuja kuomba ushauri au msaada watu wanaanza kumcheka au kuleta utani,kama huwez kutoa majibu chanya kwani lazima kuchangia?
 
Et unakuta mwanaume mzima anakwambia hajawah fanya masterpunyeto,huwa nawashangaa sana,walikulia wapi
 
mkuu wanaboa sana utaona mtu ana quote gazeti nzima
kuna huyo mmoja aliquote uzi mmoja mrefu vibaya jukwaa la intelijensia halafu chini akaandika 'duuh' aise watu walimmainda balaa
 
kwa muda mchache niliojiunga jf nimegundua mambo ambayo huwa yanawakera mno wakiwa jf
1: kuleta habari inayowagusa hisia/maslahi watu wengi ikiwa haina chanzo cha taarifa

2: kuleta hoja/taarifa bila maelezo/ufafanuzi wa kutosha

3: kushindwa kuandika maneno/sentensi ya lugha yoyote ile kwa ufasaha

4: kuwasema vibaya member ambao wanaheshimika mno hap jf

5: kuleta mada yenye viashiria vya kuonyesha kuwa mleta mada hajakomaa kiakili..

tuongezee na vingine

namba 3

inawezekana sio kero hapa tupo memba wenye uelewa tofauti ukiona mtu anakosea humu jf muelimishe hii ni sehemu ya kujifunzia mambo mbalimbali.. unless awe katumia lugha ambayo ni ya kuudhi hahahaha kama ni kukosea tu kwa uelewa usikereke muelimishe ....

namba 4.
memba wanaoheshimika ndo kina nani mkuu? usije ukaniambia unamuheshimu/ mnamueheshimu lizaboni na genge lake yani ukawaweka kwenye kundi la waheshimiwa wa humu jf.. au mwingine yeyote awaye ,!!! kila memba anastahili heshma yake bila kujali itikadi wala dini mkuu wacha kujinyanyapaa aisee.

namba 5
ungeongeza na wale wanaume wanaoamka asubuhi na kuanza kusma mambo yasiyo na tija wala msaada lets say anaammka na thread inasema natafuta mafuta ya kulainisha ngozi na ilhali ni mwanaume ...
ama kwa mara ya mwisho ulipiga goli ngapi demu wako sijui nataka kutoboa macho na pua .....hao mmmh
 
*Kutukana mtu matusi ya nguoni (gasho, mngese, msengerema nk)
*Kuwa mkali ukikosolewa point yako na ubishi
*Kupingwa hoja ya mtu hata kama ina mashiko kisa tu ni chama fulani.
 
na pale mods wanapoamua kuungaunga nyuzi zetu ............ aisee
 
kwa muda mchache niliojiunga jf nimegundua mambo ambayo huwa yanawakera mno wakiwa jf
1: kuleta habari inayowagusa hisia/maslahi watu wengi ikiwa haina chanzo cha taarifa

2: kuleta hoja/taarifa bila maelezo/ufafanuzi wa kutosha

3: kushindwa kuandika maneno/sentensi ya lugha yoyote ile kwa ufasaha

4: kuwasema vibaya member ambao wanaheshimika mno hap jf

5: kuleta mada yenye viashiria vya kuonyesha kuwa mleta mada hajakomaa kiakili..

tuongezee na vingine
Angalizo: Kukerwa ni subjective and not public ie is not a concept, to me:
6. Kuchangia sana thread za ngono kuliko educative threads eg afya, sheria etc
 
Back
Top Bottom