Mambo yanayoweza kugusa moyo wa mwanamke

Kwenda tofauti na maandiko ya dini ni vigumu,mola wenu aliyewaumba anawajua hata kabla hajawaumba.sasa hapa weww unataka kuleta hadithi za kusadikika.
 
Wanatarajia mengi mno kutoka kwetu, shida huanzia hapo.
 
Mleta uzi anasema ila tu haja confess kuwa,sex sio upendo wala si njia ya kuonyesha upendo.
Yan katika mahitaji ya mwanamke,sex sio kipaumbele...

Ahahahahahahahahahaha.
Utazua mgogoro mkubwa sana
 
Huna kaxi za kufanya mpaka ubembeleze jitu zima lenye kikwapa?? Minywele kila mahali???
mnalolingana umri????

Muache hapo atajua yeye akomae au asepe watoto sha pata sasa nini??

Manaume mengine bana?? Kichefu....sijui yana akili ngapi?? Ndo maana mnauawa!!
 
Tangu asili anguko la dhambi bustanini moyo wa mwanamke ukawa na tamaa soma mwanzo 3.16 neno linasema Akamwambia mwanamke ,"Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala" kwa hiyo inamaanisha moyo wake umejaa tamaa iwe ya kimwili au kiuchumi,mali au fedha dhambi iligeuza moyo au mioyo yao kuwa hivyo. Hauwezi kutenganisha moyo wa mwanamke na fedha ni vitu pacha.
 
Tuulizeni sisi wenyewe kinachotugusa moyo afu mlifanyie Kazi hatuwezi shindwana. Lol

Sasa moyo wa kwetu sie afu formula mtoe nyie.

Inakuja kweli ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…