Mambo yasiyoacha watu salama

1. Kumwaga nje.

Usijaribu hii kitu endapo mwenzi wako amekwambia yupo siku ya hatari.

Narudia tena, USIJARIBU KUSEMA UTAMWAGA NJE.
yan hii zaid ya hatarii man weng wamekutwa na kumwaga nnje halfu saiz wao wamebaki kuwa wapnz watazamaj, wkt inajulkana kuwa zawad pekee unayoweza kumpa mwanamke askusahau n mimba tu ssa wengne ujnga unaambiwa mwaga nnje
 
usiache smu chumbn pnd umeenda kuoga na haina password mapchapcha na sms yamejaa humo hujafuta
 
kufanywa kinyume na maumbile mwisho haitaacha mtu salama
 
Kupenda mademu ambao hautumii jasho kuwapata aka slope hakujawahi kumuacha mtu salama
 
Ndoa kuvunjika ilihali mlishafunga ndoa,wengi kama sio wote hili halijawaacha salama mpaka hapo watakapokuja kurudi tena kwenye mstari.
 
Kutokumpa mkono Sheikh Dawood Al Bayshite mbele ya hadhara hakutomuacha Salama mjomba yousuf cuesirga
 
Kula sukari ya Yesu ya mwanafunzi hakukuaxhi salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…