Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 872
Kuendeleza mawasiliano na demu wako wa zamani ....hutabaki salama maana lazima tu utamtafuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa umenichekesha kweliKupelekwa kibiti kwa kazi ya serikali
1 inakuaje hyo madhara kwa men anaekula tigo
Mavi yataingia kwa kibofu so inaweze kuweka uchafuuu pia kuharibu mfumo wa Mbegu wa mwanaume
Ikifanyw kupindukia au? Na vip kinga si zipo
Don't love [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40].. Ile siku niende bila ruhusa ulichonifanyaaaaaa mhmmhmhmhmhmhmhmh
[emoji23] [emoji23] alafu mimi naongea na nipo very pissed off... Alafu kale ka rafiki kako ka kike kanakutetea... Kilichomkuta... Hahaha... Mpaka akasema.. Samahani mtamalizana mwenyewe...Don't love [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40].. Ile siku niende bila ruhusa ulichonifanyaaaaaa mhmmhmhmhmhmhmhmh
Nakupendajee Smart911 wangu
Uwiiiiiiiiiiii usinikumbushe aseeeh roho ilinidunda dunda nikasema mama weeeeee nafwaaa Smart911 ananiuaaa leo niiliogooopaaa[emoji23] [emoji23] alafu mimi naongea na nipo very pissed off... Alafu kale ka rafiki kako ka kike kanakutetea... Kilichomkuta... Hahaha... Mpaka akasema.. Samahani mtamalizana mwenyewe...
Ulikuwa unaniangalia tu ukitia huruma...
I really love your attitude though... Huna uwoga wa kizembe zembe... Kelele tunapiga wote, hata sometimes fujo tunazifanya pamoja... Kama mapacha vile...Uwiiiiiiiiiiii usinikumbushe aseeeh roho ilinidunda dunda nikasema mama weeeeee nafwaaa Smart911 ananiuaaa leo niiliogooopaaa
Kwa nini?kutokumgegeda demu wako mpaka ndoa hakutakuacha salama
Kunywa Pombe kupita kiasi, Daima hakukuachi Salama.😀Habari zenu wakuu,natumaini mna afya njema kabisa na tunaendelea vizuri na mfungo.
Sasa hapa naomba tutaje vitu vyote visivyoacha watu salama maana naona vimezidi sasa tuvimalizie hapa ili tuachane navyo.
Kwa kuanza,KUTOKUA MAKINI UKIENDESHA VIFAA VYA MOTO HAVIKUACHI SALAMA!!!!
Karibuni😀😀😀
Dah Topic imenichekesha sana Leo so punde nimepost mrembo mzuri kuliko x wangu bas x wangu kaja juu utadhani me bwanake afu kanafosi mawasiliano dah saa kufungua uzi nakuta hii comment nimecheka kwa watu kama chizi eti.Kuendeleza mawasiliano na demu wako wa zamani....hutabaki salama maana lazima tu utamtafuna