Mambo!!

Mambo!!

Hiv bongo kuna sever za kuweka data za JF kwahyo unaidharau JF kuwa haiwez kua na server ulaya?
JF haiwezi kua na sever ulaya coz imetengenezwa bongo tofaut na social network nyingine
 
kwahyo kitu kikitengenezwa tanzania hakiwez kua na server ulaya ndio unachotaka kusema?
 
No siijui,! ban tena??
ban ni mnyumbuliko wa maneno ambayo moderator kwa mamlaka yake anachukua maelezo yako na kuyafungia kwenye server kwa kipind maalumu ukiwa hukoo utakua unauwezo wa kucomment ila hzo comment utaishia kuzisoma mwenyewe
 
Really?? So unataka kuni ban? What's wrong nimefanya?
 
Back
Top Bottom