hhhahahha Caroline umenifurahisha sana
Haya Ziondaughter Caro ndo first born wa mwisho hapa nyumbani lol. Umheshimu hivyo!
Hi!
Iam looking forward to learn and contribute as well!
Stay Blessed all of you.
Karibu sana jamvini, ujisike uko nyumbani kabisa. Kuna mihogo ya nazi hapa na ndizi za utumbo wa mbuzi π karibu sana jamvini. Naona ulizaliwa wakati wa shibe π
Asante.kwetu bara tumezoea ugali maharage ya kuunga na karanga.itabidi nijifunze hizi nazi.
Na huwa huyo NANILIU anasafiri sana, hivyo akina Fidel na Kaizer
wananilinda bila shida yoyote!